@millardayo Umetumia lugha vizuri sana. Katika kiswahili si sahihi kusema amefariki dunia. Aidha amekufa au ameaga dunia au amepoteza uhai/maisha au amefariki.
Mama @SuluhuSamia huyu shoga yako anaitwa Juwaira Abbas anaishi Mombasa Zanzibar na yeye leo anafurahia kutimiza miaka 2. Tunakupenda sana Mama na twakutakia umri mrefu wenye manufaa na kubwa zaidi twakuombea khatma njema.
Upungufu wa vitabu sio changamoto kubwa kwetu, program ya @RoomtoRead ni rafiki wa karibu inayotuwezesha kupata vitabu vya hadithi za watoto kwa lugha yetu nzuri ya kiswahili, Watoto wanafurahia teknolojia! @RoomtoRead_TZ@MabalaMakengeza