@SuluhuSamia Hongera sana Mheshimiwa Rais.
Niwakati sasa wa kuongeza matumizi ya nishati vijijini ikiwa nipamoja na kuongeza uhamasishaji wa umuhimu wa nishati sambamba na maendeleo kwa ujumla.
@Mwabuk2Boniface Poleni sana kwa yaliyo tokea.Tuungane kutafuta suluhu ya tatizo pamoja.Tanzania ni yetu sote,tuijenge pamoja badala ya kuibomoa.Kila kitu kilisemwa hata kabla baya kutokea.Viongozi wawe tayari kuwasikiliza wananchi na wananchi watii sheria.Mungu ibariki Tanzania.
@Sativa255 Pambana na maisha yako,achana na kutabili video via watu.Kufa kwake kutakusaidia nini wewe? Hapa Tanzania ungejikita kwenye mambo ya msingi kama kuwatafuta wasiojulikana nk...
@ChiefLumanyika Inaonekana alipata muda wa kujisomea na kuchabua sheria vizuri hapo gerezani.Kama Luna sehemu mtu anakaa na ku concetrate ni mahabusu...kwa masuala ya sheria....wanahitaji mda wa kutosha kufikiria....huyu jamaa atakuwa anajisomea sana huko ukonga!!!
@ChiefLumanyika @MamaStella3 Uchaguzi ni hiali sio vita,Jeshi halisimamii uchaguzi,wapiga kula wanapiga kula kwa hiari yao.Jeshi linasimamia amani ya watu na mali zao.