@kapeto98 Kipindi natafuta mke nilidate na wanawake 11 wa 12 ndo akaja kua wife. Nakumbuka nilikutana nae wiki ya kwanza, the next week nikamwambia nataka nikuoe ananiambia mbona ghafla sana ๐ . Mke analetwa na Mungu na siku akiletwa kwako hutachukua ata mwezi kujua kua huyu ndo wife.
@MswatiKing_01 Tukiwa na chama hao tumewapiga two times kwa mkapa na kutoa nae sare mjini Cairo. Tukiwa na chama tumewahi ku top group ambalo walikuemo.
@Sirjeff_D@AllyDaulath Pia sababu nyingi za mapigano kipindi cha Mtume hazikuegemea katika matamanio ya kidunia kama vile madaraka, mali, ukabila nk.
Bali viliegemea katika sababu kama vile KUJILINDA DHIDI YA VITISHO, KUTAKA UHURU WA KUABUDU, KULINDA AMANI NA USALAMA KWENYE MAENEO YA WAISLAM nk.
@Sirjeff_D@AllyDaulath Sababu ni kuwa: Mtume (s.a.w) hakuipa vita nafasi isipokua tu pale ambapo mbinu nyingine zote za maridhiano ya amani zilishindikana.
Na hilo ndio moja ya sharti kubwa la kupigana vita ( jihad) kwa mujibu wa mafundisho ya Uislam hata sasa.