@TBConlineTZ Mikopo haiko wazi nainatolewa ki siasa.ukionekana ww ni mkosoaji hata uende na wazo zuri namna gani https://t.co/la8woYhsOn uwe ni kada&mwanachama wa ccm.kama mnakusudia kuwainua vijana msiwatumie kimasilahi yenu.wapeni hiyo mitaji wafanye kazi
@MwijakuBurton wivu kodi zao ziko juu saana kulipia mapato kulingana na vipato vyao.hivyo kama nchi inaingiza kupitia hichohicho wanacholipwa.acha uzwazwa wa kujenga chuki baina ya wachezaji kwa wachezaji kwa mtazamo wakko hasi.ww unapolipwa mshahara unautumiaje au unafanyaje?
@MwijakuBurton akili za maskini cku zoote huwa zinawaza choyo tu.ukitaka kufanikiwa acha kuwaza kimaskini.huyo shabalala hajazuiwa kuonyesha uwezo ili aende kuchuma epl&la liga&bundersiliga.muhimu ni kupambana na kuonyesha vitu watu watawahitaji tu na kupanua wigo wa kipato.pia hawa unao waonea
@KolnerioO@ayubu_madenge@Mahmoudms01 Tango pori.hakuna kiongozi wa chadema anaeingiaga kwenye maaandamano akakaa mstari wa mbele hakuna.muhimu muwe wa kweli na kukisimamia mnachokiamini na cyo mnawatoa kafara watoto wa watu.oparation ukuta kiongozi wenu anapanda ndege huku amesistiza kuandamana ni lini alijitokeza
@gift_macha Chagua kazi moja uscaort&uchambuzi&utangazaji.hivi viherehere vya kila mkiangalia kwa macho yenu na kuamini kinafaa kinatuharibia mpira wetu.mtangazaji ww mchambuzi ww scourt ww.inawezekanaji bhana Ncha
@ayubu_madenge Umeona enhee weye kolo uliyekubuhu.huyo ndo mfalme mpya wa serengeti.wapo ugenini kama vile wapo nyumbani.wanajua kushangilia wanajua kucheza wana akili ya mpira.poleni saana madunduka fc mwaka huu mjipange sawasawa
@naytrueboytz Mama anajua ww ndo msaada wake.hivyo kusikia au kukuona ukiwa kwenye changamoto yoyote mwenye maumivu ni yeye.pia kupata njia ya kufikisha ujumbe nje ya muziki ni ngumu kwako ila ujumbe uko sawa hasa kipengele hiki.maji hayatoki lakini bili zinatoka hataree saana.
@naytrueboytz Daah mwamba unajitoa saana.mungu akulinde uendelee kutusemea cc wanyonge.najua ni ngumu ila mungu yu pamoja nawe.usikate tamaa na wala usikimbie nchi.dawa ya uovu ni kuukemea kwa maneno kama hivyo.barikiwa saana Elibariki
@MariaSTsehai Miza na tozo kuweni na uungwana hata kidogo.leo10000/=imekuwa kama buku ukiichenji imeisha.MhMakamu wa rais Mpango ww ndo ulikuwa wizara ya fedha tusaidie kujikwamua kwenye https://t.co/W5razJxZoQ Mwigulu wizara imemzidi.kila cku tunapokea misaada iweje tuendelee kuumia
@MariaSTsehai Ukweli serikali ijitafakari juu ya hili https://t.co/kQMjcrciKK ni kweli serikali haitosheki na kodi tunazolipa au?najiuliza miaka miwili tu ni mzigo mzigo wa tozo https://t.co/E049XewcUZ nyinyi mliopo kwenye uongozi miaka miwili iliyopita mlikuwa nje ya utawala au?acheni kutuum