Dirisha la usajili limefunguliwa kwa miezi miwili
Kuanzia JULAI 1 mpaka Septemba 7 2025.
Muda wa kujua mbivu na mbichi umefika π
TFF imetoa tahadhari kwa vilabu kuwa hakutakua na muda wa nyongeza.
Ally Samatta ambaye ni Baba Mzazi wa Nahodha wa Taifa Stars, amefariki dunia alfajiri ya leo akiwa nyumbani kwake Mbagala jijini Dar es salaam.
Mmoja wa Wanafamilia amedokeza kuwa Mzee Samatta alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kiafya.
AyoTV na https://t.co/dafsvQh5sZ zinatoa pole kwa familia, Ndugu Jamaa na Marafiki kufuatia msiba huu. #MillardAyoUPDATES #RIPMzeeSamatta