What's your experience with this lorries? Personally kuna siku tumeenda Mai mahiu kwendea mchanga, kufika na apa Kabuku, limuru there's a place kuna successive bend to the left, steep slope then a steep ascent dere anakanyanga clutch aweke number two tupande hiyo mlima
@Classic105Kenya@ItsMainaKageni Kuna tym nikiwa kwa mat naelekea lodwar marsabit tulikaanisha na officer mmoja apo nikidhani ni chief wa hio eneo mameen😂😂😂zile za tene ndio poa juu unamuonea ukiwa mbali