The World Cup begins tomorrow, and many will watch the matches. Soccer reminds us of something we must not forget: life is not a race to show off on our own, but a path we learn to walk together. Anyone who does not know how to pass the ball, even if they have talent, has not yet understood the game. Anyone who does not know how to live with and for others has not yet understood life. #ApostolicJourney
Mkataba wa kazi sio karatasi tu, ni ulinzi wa haki, usalama na hadhi ya mwanamke mahali pa kazi. Kila mwanamke anastahili kufanya kazi kwa mazingira yenye haki na heshima.
@ElimikaWikiendi@unwomentanzania#KizaziChenyeUsawa
Leo tulikuja kumtembelea ndugu yetu Nsubisi Joseph Mwakilema, ana umri wa miaka 30, anaishi Kyela (Mbeya), baada ya kunitafuta akiomba msaada wa kiti mwendo (wheelchair) savant kile alichokuwa anatumia kuharibika, alikuwa anakitumia tangu mwaka 2010 akiwa anasoma.
Mungu aendelee kuwalinda na kuwatunza viongozi wetu. Mmekuja katika kipindi muhimu lakini kigumu sana. Mungu aliyewaleta awavusha. Tutaangalia nyuma tukisema: NI MUNGU๐๐ฝ
#TajiriLaKihaya
Kama ningekuwa WAZIRI WA NISHATI Tanzania, jambo la kwanza ningepunguza ni msongamano wa magari ya mafuta hasa Dar es Salaam.
Suluhisho la msingi ni kuwa na depot za mafuta angalau moja katika kila mkoa, na pia kuimarisha usambazaji wa mafuta kupitia pipeline (mabomba ya mafuta) badala ya kutegemea sana malori.
Mfano mzuri nimeuona Kenya. Mafuta husafirishwa kwa bomba kupitia Kenya Pipeline Company kutoka Mombasa hadi maeneo ya ndani ya nchi.
Kuna depots muhimu kama:
Kisumu (inayohudumia Nyanza na magharibi mwa Kenya),Eldoret (kitovu kikubwa cha mafuta kwa Afrika Mashariki),Nakuru na Nairobi
Mfumo huu unapunguza sana idadi ya malori barabarani na gharama za usafirishaji.
Pia nchi nyingine Afrika zinafanya hivi:
Afrika Kusini ina mtandao mkubwa wa pipelines kusambaza mafuta ndani ya nchi na Nigeria pia hutumia pipelines kusambaza mafuta kutoka maeneo ya uzalishaji hadi miji mikubwa
Mapendekezo kwa Tanzania:
1.Kujenga depots za mafuta kimkakati katika mikoa yote,Hii itapunguza utegemezi wa Dar es Salaam kama kituo kikuu pekee
2.Kupeleka mafuta kwa pipeline hadi mikoa ya ndani,Mfano: kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, Mwanza, na Mbeya
3.Kuanzisha depots katika mikoa ya mipakani ili kupunguza safari ndefu za malori mathalan; Zambia na CONGO iwe Mbeyaโฆ.Rwanda & Burundi: Kahama au Bukobaโฆ Malawi: Mbeya au Ruvuma (Songea)โฆKenya & Uganda: Mwanza
4.Kuruhusu mafuta ya transit kuhifadhiwa karibu na mipaka,Badala ya malori kutoka Dar kusafiri hadi mipakani moja kwa moja
Faida zake ni kubwa:
-Kupunguza foleni kubwa ya malori ya mafuta Dar es Salaam
-Kupunguza ajali za barabarani zinazohusisha malori ya mafuta
-Kupunguza gharama za usafirishaji wa mafuta
-Kushusha bei ya mafuta kwa mlaji wa mwisho
-Kuongeza ufanisi na usalama wa usambazaji wa nishati
-Kuifanya Tanzania kuwa kitovu kikuu cha usambazaji wa mafuta kwa nchi jirani
Kwa kifupi, huu ni uwekezaji wa kimkakati ambao unaweza kubadilisha kabisa sekta ya nishati na uchumi kwa ujumla.
Godโs heart is torn apart by wars, violence, injustice and lies. But our Fatherโs heart is not with the wicked, the arrogant, or the proud. Godโs heart is with the little ones and the humble, and with them He builds up His Kingdom of love and peace day by day. Wherever there is love and service, God is there. #ApostolicJourney #Algeria
Absurd and inhuman violence is spreading ferociously through the sacred places of the Christian East, profaned by the blasphemy of war and the brutality of business, with no regard for peopleโs lives, which are considered at most collateral damage of self-interest. But no gain can be worth the life of the weakest, children, or families. No cause can justify the shedding of innocent blood.
God does not bless any conflict. Anyone who is a disciple of Christ, the Prince of Peace, is never on the side of those who once wielded the sword and today drop bombs. Military action will not create space for freedom or times of #Peace, which comes only from the patient promotion of coexistence and dialogue among peoples.
Mnaikumbuka Familia ya Baraka, ana familia ya watoto wawili na mke Mmoja, hali ya Baraka ni ya ulemavu hawezi kufanya kazi ngumu, maisha yake yanamtegemea mke wake ili aweze kuishi ila kunamna tutamsaidia huko mbeleni, leo nimemleta kwenu na jambo jingine.
TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...
Umecheleweshwa, umekatishwa tamaa, umekataliwa, umenyimwa fursa lakini kamwe usiache kuamini na usipoteze Matumaini. Hata katika kipindi cha kusubiri, MUNGU anaendelea kufanya kazi. Kile ambacho MUNGU ameahidi, hakika atakitimiza. Furaha yako iko karibu kuliko unavyofikiri.