@Start_WithG@SFRCdems 1/Waandamanaji sio watanzania, 2/waliokufa sio watanzania 3/ waandamaji mi watanzania walifata mkumbo 4/dakika chache kwa ndugu zetu waliopoteza maisha wakati wa maandamano 5/ Waandamanaji walilipwa na NGO, 6/ Waandamanaji walikuwa na siraha.
Unakazi ngumu Sana ndugu kutetea
@Start_WithG@SFRCdems Wakati tuna sign kuwa mwanachama wa ICC ,hukuwaza kuwa Tutadeal na watu nje ya Tz ?Mikataba tunayosign kuchukua mikopo Europe hukuwaza kuwa Tutadeal na watu nje ya Tanzania ?
Na mpaka sasa milio ni mikubwa kwa viongozi wetu, imekuwa serikali ya matamkoo kila kona
@lameckwmkumbo@NgenyaDr26543@madeinmusoma Na mara ya mwisho faza aliendesha misa ya mazishi kanisa la st Joseph akiwa na cheo cha major (jwtz) mwenye, hiyo combat I can't justify wHy kaivaa , may be alikuwa training sehemu. Ikumbukwe vijana wa jwtz wanaotrain Russia wanavaa uniform za Russia.
@lameckwmkumbo@NgenyaDr26543@madeinmusoma Siwezi Kujua Kwa nini kavaa iyo combat yenye nyota nne begani, lakini jeshi letu halina cheo cha Ivo kama hapo begani , na pia haimaanishi kuwa faza Hana uwezo WA kutumia silaha, na tatu kozi ya uafisa NI ngumu kuliko ya Askari WA kawaida ukitoa commandos na special forces