😔💔
.
Katika ajali ya chombo cha baharini kilichotokea hivi karibuni, waliokuwa ndani ya chombo hicho walikuwa na simu zao ambazo zilirekodi tukio hilo la kuzama
@worldnewsdotcom@millardayo
☹️🤷🏿♂️????
@wizkidayo
.
. Ayodeji ibrahim, maarufu kama Wizkid, ana rekodi ya Guinness World Record kwa kuwa msanii wa kwanza kuwa na wimbo ambao umefikia watazamaii bilioni moja Spotify,wimbo wa "One Dance" aliomshirikisha Drake kutoka Canada na
Kyla, tarehe 16 Desemba 2016.
For things on rank en people you never knew🌏✈️………follow my Instagram acc✨📈
.
.
.ranki ya watu na vitu ambavyo uvijui….ni follow kaitka ukarasa wangu wa instagram
@rankworld
Trevor, Noah😂✈️…African comedian
Trevor ni mchekeshaji,mwandishi na mwendeshaji wa kipindi kwenye tv kutoa S.A .ameshimda tuzo nyingi ikiwemo
1.Erasmus prize
https://t.co/9P8DsKiMdz time Emmy awards
3.named at most powerful people
Kuna wasanii wengi na watu maarufu katika Afrika ambao wanaiulikana kwa mapendekezo yao ya mitindo. Baadhi ya wasanii hao ni pamoja na Davido, Tiwa Savage, Sho Madjozi, Adebayo Oke-Lawal, na Naomi Campbell. Mapendekezo ya mitindo yanaweza kutofautiana kutokana na tofauti zao
Best lyrics🎶 @ayrastarr 🌏✈️✨
. Uandishi wa nyimbo: Ayra Starr huandika nyimbo zake mwenyewe, ambayo ni jambo la nadra sana katika tasnia ya muziki wa Nigeria. Mashairi yake ni ya kugusa moyo na huonyesha hadithi ambazo zinaonekana kufanana na maisha halisi ya mashabiki wake.
rankw_orld Top hot #
"ayra star". @ayrastarr
"Rush " imekua mmoja ya nyimbo pendwa kwa watu wengi ulimwenguni , imetazamwa na watu zaidi ya milioni 181 kwa upande wa youtube.
Best Rap lyrics goes to #
1. Young lunya V "Mimi na pesa Tunakimbizana" Jj.
@YoungLunya (Chini Juu ft King98)
2. Khaligraph .J. as " So, kuna haja gani nijifanye namiliki fedh " Sad (Nkwame ft @harmonize_tz ….what do you think?
RAPstars✈️🌏……
Young Lunya ameweza kujitokeza kama mmoja wa wasanii wenye mistari mikali ya hip hop nchini Tanzania . Young lunya ni msanii mwenye kujituma na wenye kujiamini katika kazi yake. Hit Kama vile “Fimbo”na “Vitu vingi”zimemfanya kuwa na ushawishi mkubwa kwa Vijana.