Volcanoes, just like any other geohazards could happen at any time and abruptly. This late November, we introduce to you the science of volcanism and how we could reduce effects. This article is written by Mr. George Rwegoshora @Rwegolite.
https://t.co/daRKJkWqTE
๐ค ๐ฅ๐ฒ๐๐ฒ๐ฎ๐ฟ๐ฐ๐ต๐๐ข๐ ๐ฎ๐ป๐ฑ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ฒ๐ฎ๐น๐๐ต ๐ฆ๐๐บ๐บ๐ถ๐ (๐ง๐๐ฆ) ๐๐ผ๐ถ๐ป ๐๐ผ๐ฟ๐ฐ๐ฒ๐ ๐๐ผ ๐๐น๐ฒ๐๐ฎ๐๐ฒ ๐ฆ๐ฐ๐ถ๐ฒ๐ป๐ฐ๐ฒ ๐๐ผ๐บ๐บ๐๐ป๐ถ๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป!๐
โคต๏ธโคต๏ธโคต๏ธ
โฉToday, at the JNICC in Dar es Salaam!
In this weekโs special issue: the biggest questions about the universe and our place in it.
Grab a copy in shops now or download our digital editions.
https://t.co/9Tod40Li4P
Astronomers have discovered a "deep structure" buried on the moon. โImagine taking a pile of metal five times larger than the Big Island of Hawaii and burying it undergroundโ Most likely itโs from an asteroid, but whatever it is we should call it TMA-1. https://t.co/efwark2IRq
Nimetembelea viwanda vitatu vya kampuni ya POSCO ya Korea vinavyozalisha malighafi za Anode na Cathode za kutengenezea betri za magari ya umeme katika miji ya Sejong na Chuncheon, na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais Mwandamizi wa POSCO Bwana Jaeson Kim.
Mazungumzo yetu yalilenga mipango ya baadae ya POSCO na ushirikiano na Tanzania katika eneo la madini ya kimkakati na uchumi wa kijani.
POSCO ni kampuni pekee inayozalisha malighafi ya Anode kwa ajili ya viwanda vya betri za magari nchini Korea. Ni kampuni ya 6 kwa kuzalisha malighafi hiyo duniani.
Tayari POSCO inawekeza nchini Tanzania katika Mgodi wa Mahenge Graphite kupitia kampuni ya Faru Graphite inayomilikiwa kwa ubia kati ya kampuni ya Black Ore ya Australia na Serikali ya Tanzania.
Hii ni almasi nyeusi yenye umri wa miaka bilioni kadhaa inayoaminika kuwa almasi kubwa zaidi iliyokatwa duniani na inachukuliwa kuwa nzito sana kwani uzito wake ni karati 555.55 #thamanimadini#madinimaishanautajiri#almasi#diamonds
BUNGE limepitisha bajeti ya Wizara ya madini ya Tsh 231.98B kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Tsh 140B ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo huku Tsh 91.3B ni kwa ajili ya mishahara na matumizi ya kawaida. Makusanyo kufika Tsh 1 Trillion #thamanimadini#madininimaishanautajiri
On the 4th anniversary of #Seds_Online ๐๐๐, we are pleased to inviteย toย the 9th Student Webinar, where Nils Baumann, Nahuel Losano @nahuellosano andย Nemi Walding @nemiwall will talk aboutย 'Volcanic contributions to the stratigraphic record': https://t.co/i1xlHEJSMw
Kudu Graphite Limited ni ubia kati ya kampuni ya Evolution Energy Minerals na JMT inayomiliki mradi wa Graphite wa Chilalo. Mradi huu una hazina ya madini ya graphite ya tani 67.3m cha 5.4% ambayo Kudu imedhamiria kuchimba na kuchakata kwa miaka 18 #thamanimadini#graphite
2/2 Programu hii itawaendeleza wakina mama na vijana kwa kuwapa vifaa, mitambo ya uchimbaji, magari, maeneo ya kuchimbia pamoja na leseni. Hii itachochea ukuaji wa sekta ya madini,uchumi wa Taifa na kuongeza ajira kwa watanzania #thamanimadini#madininimaishanautajiri#minerals
Manganise inapatikana katika maeneo kadhaa nchini Tanzania. Baadhi ya maeneo hayo ni Kibakwe-Dodoma, Uluguru-Morogoro, Liganga, Mchuchuma, Mlangani na Kisaki. Huko Liganga, kuna amana kubwa ya manganise, ambayo ina uwezo wa kuzalisha mamilioni ya tani za madini hayo.
Madini ya manganise ni madini yanayopatikana kwa wingi duniani na hutumiwa katika viwanda vingi na ni muhimu katika afya ya binadamu.
#thamanimadini#madininimaishanautajiri
Vilipuzi hutumiwa katika uchimbaji wa madini kwa kusaidia kuvunjavunja na kuchimba miamba migumu kiurahisi na uharaka zaidi. Hii ni njia ya kawaida na yenye ufanisi katika uchimbaji wa madini duniani kote.
#thamanimadini#madininimaishanautajiri