#MondayMotivation
Anaitwa Eugene Milka ni binti kutoka Kisumu Kenya 🇰🇪 ni mtaalam au fundi mahiri wa kubandika Tiles/Vigae vya nyumba. Katika picha hapo ni baadhi ya kazi zake ambazo zinajionyesha kafanya zikiwa ni maridadi kabisa. Mawasiliano yake ni +254707234276.
@afripowertz ni waezekaji wa nyumba mahiri waliobobea katika fani hii na wenye uzoefu mkubwa.
Our Services:-
◾Tunaezeka/kupaua nyumba aina zote kwa uezekaji wa kisasa.
◾Tunafunga Ceiling & Gypsum board.
◾Tunatengeneza makabati ya jikoni na ya Vyumbani yenye muonekano mzuri.
Wataalamu wetu wanauzoefu na Ufanisi mkubwa katika tasnia hii (Professional)
Usisahau kuffollow na ku-Like kurasa zetu kwa updates kibao.
Weka booking yako sasa tupigie simu no. Call/Whatsapp
0754852873
0752102240
0717690224
au Email: [email protected]
Kutoka Buswelu #Mwanza Ni @afripowertz tena, waezekaji wa nyumba mahiri waliobobea katika fani hii na wenye uzoefu mkubwa. Usisahau kuffollow na ku-Like kurasa zetu kwa updates kibao.
Weka booking yako sasa tupigie simu no. 0754852873 au Email: [email protected]