#BREAKING: Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefia kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.
#MillardAyoUPDATES
Rais wa Klabu yetu na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika [ACA], Eng. Hersi Said amepata tuzo kutoka World Football Summit [WFS], ya kuthamini mchango wake wa kuunganisha Vilabu vya Soka Afrika.
Tuzo hii imetolewa kwenye mkutano wa WFS, uliofanyika kwenye Jiji la Rabat, Nchini Morocco.
@WFSummit@Caamil8
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
UGONJWA WA STROKE(KIHARUSI)*
Stroke ni ugonjwa ambao hutokea kutokana na ukosefu wa damu inayokwenda kwenye sehemu ya ubongo au kutokana na kuvuja kwa damu ndani ya ubongo. Hali hii husababisha kufa kwa seli za ubongo katika eneo lililoathiriwa, na kusababisha madhara<<

๐ Kupata wakati mgumu kutembea, kutetemeka, au kupoteza usawa.
๐ Kupata ghafla shida ya kuona kwa jicho moja au pande zote.
โ Mtu anayeshukiwa kuwa na stroke anahitaji huduma ya dharura haraka. Matibabu ya mapema yanaweza kusaidia kupunguza madhara na nafasi za kupona.