Bodoboda anayejitambua akataa penzi la Mwanafunzi part 2. Je ni kwani wanaume wengi hupenda kufanya mapenzi na wanafunzi na tufanye nini kubadili tabia hii? Toa mawazo yafanyiwe kazi.… https://t.co/PTN75d7DIl
SONONA(DEPRESSION)
NI ugonjwa wa akili unaofahamika Kila Kona duniani
DALILI ZAKE NI
•Huzuni
•Kukosa utulivu wa akili
•Kujilaumu na kujiona mwenye hatia
•Kuwa mpweke/Kujitenga
Tafadhali Piga 117 kwa ushahuri zaidi.
Je wajua kila mtu anaweza kuwa kama mtu fulani kwa kujiwekea malengo?
Jifunze kujiwekea malengo ya siku inayofuata ili kutimiza ndoto zako katika maisha.
#mkwanja#urembo#afya #jiamini#mahusiano #mtandao #elimika#ujasiriamali #malengo#urafiki #upendo#heshima #ngono #
Je Changamoto zinakufanya usitimize ndoto zako?
Changomoto zisikukatishe tamaa katika kupambana na ndoto kisha zifanye changamoto kama fimbo inayokuamsha kwenye kutimiza lengo au mafanikio yako.ya kila siku.
Ni Kitu Gani Ambacho Uliwai Kukifanya Kwenye Sikukuu Za Wapendanao (#VALENTINEDAY) Zilizopita Na Unakijutia Hadi Leo Hii !! Na Usingependa Kitokee/Kisijirudie Tena Kwa Mtu Mwingine?… https://t.co/BBJDZeaM9M