Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amekagua shughuli za biashara katika soko kuu jipya la mjini kati jijini Mwanza na kuagiza ndani ya wiki 2 (siku 14) wafanyabiashara zaidi ya 100 walioshinda zabuni na kugawiwa maeneo kuanza mara moja biashara.
#Habari#afyaradio2025wewekwanza
Kaimu mkuu wa chuo cha elimu ya biashara Kampasi ya Mwanza (CBE) Dr Nasibu Mramba amesema kupitia tafiti zilizofanyika zimeonesha bidhaa za kilimo ndio bidhaa zenye soko kubwa duniani.
#Chuochacbemwanza
#afyaradio2025#wewekwanza
Chuo cha elimu ya biashara CBE kampasi ya Mwanza wameanzisha kozi ya wahudumu ya mabasi ya masafa marefu lengo ni kuwa kuhakikisha wahudumu wanakuwa na elimu ya maadili ya kazi.
๐ฅ @zainab_hhemed
#chuochacbemwanza
#afyaradio2025#wewekwanza
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amewataka vijana nchini kutumia mitandao ya kijamii kama fursa ya kujifunza na kujikwamua kiuchumi badala ya kuyatumia kwa matusi na upotoshaji
#News#afyaradio2025wewekwanza
"Kunawengine wanadiriki kunyang'anywa simu ukihitaji kuongea na mzazi wako basi mwajiri anakuwepo pembeni kusikiliza kile unachotaka kuzungumza na mzazi wako pale faragha unakuta haipo" Afisa Ustawi wa Jamii kutoka shirika la @wotesawatanzania Renelda Mambo @afyafm
Kwa kutokuwa na Mkataba ndio hapo tunaona kuwa Mfanyakazi wa nyumbani haki yake inakiukwa kwasababu mkataba umeelezea kimacha mshahara ambacho anastahili kulipwa" Amesema Renalda Afisa Ustawi wa Jamii kutoka shirika la @wotesawatanzania
@afyafm#wewekwanza
Mfanyakazi wa nyumbani anatakiwa kupewa utu na heshima kama wafanyakazi wengine.
Hayo yameelezwa na Afisa Ustawi wa Jamii kutoka shirika la @wotesawatanzania Renelda Mambo alipokuwa akizungumza katika kipindi cha #fullbando kuelekea maadhimisho ya siku ya mfanyakazi wa nyumbani
"Tumemaliza hatua ya kwanza ya kutoa elimu, kufanya mikutano ya hadhara... maneno yamesha zungumzwa vyakutosha lazima tufikirie baada ya maneno tuna sitishaje uchaguzi"
Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria Zakaria Obad akizungumza katika mkutano wa chama hicho jijini Mwanza
Serikali ya Kaunti ya Nairobi nchini Kenya imefunga jengo la Freemasonsโ Hall la Grand Lodge of East Africa lililoko katikati ya jiji kutokana na deni la kodi ya ardhi lililofikia Ksh. milioni 19 [TZS milioni 396.6].
#afyaradio2025wewekwanza
Tamasha la 77 la Filamu Cannes, linaloendelea nchini Ufaransa, limeweka wazi kanuni mpya kuhusu mavazi ya wageni kwenye zulia jekundu. Uongozi wa tamasha hilo umetangaza kuwa sehemu kubwa ya mwili kuonekana wazi na mavazi makubwa sana ambayo yanaweza kuzuia harakati za watu.
Wakili Jebra Kambole, mmoja wa Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ametoa muongozo na ufafanuzi wa amri za Mahakama kwenye kesi ya uchochezi na kuchapisha taarifa za uwongo inayomkabili mteja wao.
#afyaradio2025wewekwanza