Training |Research | Consultancy |
Food industry | Nutrition | Public Health| Mental Health
Facebook & Instagram @Afyalishe.
[email protected]#AfyalisheSpace
5. Punguza vitafunwa vya sukari nyingi & kula ndizi, papai, chungwa au karanga zisizotiwa chumvi nyingi
Anza kidogo, ongeza rangi moja mpya kwenye sahani yako leo!
💬 Ni mboga au tunda gani linalopatikana kwa wingi katika eneo lako kwa sasa?
#Afyalishe#ChakulaBora#IjumaaYaAfya
1. 🍊 Je, mlo wako una mboga & matunda ya kutosha?
Kwa mujibu wa WHO, watu wenye umri wa zaidi ya miaka 10 wanapaswa kula angalau gramu 400 za mboga & matunda kwa siku. Vyakula hivi huupatia mwili vitamini, madini na nyuzinyuzi muhimu.
Inaendelea kweny comment 👇🏿
✅ Anza leo:
1. Ongeza aina 1 au 2 za mboga ktk kila mlo mkuu.
2. Chagua mboga kama matembele, kisamvu, mchichan.k.
3. Kula tunda zima badala ya kunywa jusi.
4. Tumia matunda yanayopatikana kwa msimu ili kupunguza gharama.
5. 👇🏿
Inaendelea kwenye comment..
#DEAfrica is at the Transforming Smallholder Irrigation in Southern Africa CSA Policy Dialogue, in collaboration with @FANRPAN and a number of partners, including @ACIARAustralia@ACIARAfrica@IWMI_ , ahead of the UN 2023 Water Conference.
Prof. Mary Abukutsa presents on "Capacities Required to Domesticate New Technologies and Spur Innovation to Increase Productivity and Incomes, and Improve Nutrition" at the #RegionalDialogue.
A thread
Extreme #ClimateChange in #Tanzania could decrease labour productivity.
But with the right mix of policy and innovation, crop and livestock production could increase many times over.
Learn more https://t.co/chhItSDKSL
FANRPAN has called on Common Market for Eastern and Southern Africa (@comesa_lusaka) in Zambia to share lessons and promote the uptake of the outputs of its flagship project, #AFRICAP.
Read more here: https://t.co/n8CAllNpdI
#IFeed#FANRPAN#Resilience
Fruits & vegetables should be part of your diet because they:
✅ Are full of dietary fiber, vitamins & minerals that boost immunity
✅ Improve gut, physical & mental health
✅ Contain phytochemicals that help lower risk factors for non-communicable diseases
#FruitsVegYear
Njoo ujifunze na kupata uzoefu zaidi kuhusu biashara. Wapo wakufunzi wazuri watakaokupatia Elimu ya Biashara na kukupa ushauri stahiki juu ya mawazo yako.
#BiasharaSpaces https://t.co/nB1BA4dPqN
#COVID19 triggered a global economic & social crisis because of widespread failure to invest in the social safety net.
We need universal social protection by 2030, including universal health care, income protection, education & skills training.
https://t.co/k9truvjHM4
Space ya leo nimazungumzo juu ya
Changamoto za kiuchumi
Changamoto za Uaminifu
Changamoto za kifamilia na Namna ya Kuzikabili katika Mauhusiano ya kimapenzi, ni pale saa 4 usiku saa za 🇹🇿
Usipande kukosa. Like & Retweet ifikie wengi
Nguvu za kiume ni nini?
Sababu za ukosefu wa nguvu za kiume.
Matibabu ya ukosefu wa nguvu za kiume!
Athari za booster!
Join #ZatureSpaces now!
@ZatureSpaces