@HajiManara Yani kiundani unaonekan upo field kule utopoloni ukimaliza field utaldi chuon kwa mo happy school inafundisha course mbalmbal unapta vyet kam.nabiii
@athanas_pius Weacha tu yani ushenzi mtupu wanatufanyia manara kakolomewa na babra mbaka kalia jux kaachana na vanesa sasa anamimba na kuimba ataki anatakaa kulea kulea
Wapwa ukiwa umeolewa au umeoa alfu mama yako mzazi akaja kwako akawa ampendi mke au mume wako nani utakaye Mfukuza kati ya mke au mume au mama yako mzazi ili kusolv problemπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺ