Serikali inataraji kujenga maabara tatu za taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) katika mikoa ya kimadini Dodoma, Geita na Chunya.
Ujenzi wa maabara hizi utaboresha uchunguzi wa madini na kupunguza gharama za uchambuzi nje ya nchi.
#MamaAnafanikisha
#KaziNaUtuTunasongaMbele
🇹🇿 "President Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia addresses the #WHA78, highlighting Tanzania's commitment to health as a human right and our strides in healthcare with @WHO's support. @mfa_tanzania@wizara_afyatz
Jarida hilo ni moja ya machapisho makubwa duniani linaloangazia watu mashuhuri wanaoleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali kama siasa, uchumi, jamii, burudani na michezo.
Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Barani Afrika (ACA), Injinia Hersi Said, ameelezewa na Jarida la African Leadership la Uingereza kuwa miongoni mwa viongozi wa mfano katika Soka la Afrika, kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya mchezo huo.
My book, 'Living With Cancer:Diaries of a Multiple Myeloma Patient', is now available at,
https://t.co/gpA2VKbmkp
The book is meant to show admiration, respect and gratitude to my family,my medical team,fellow #Cancer and #MYELOMA patients, care givers and well-wishers.
Captain Ibrahim Traore of Burkina Faso 🇧🇫 was not just invited to Russia 🇷🇺 by President Putin, a private plane was sent to transport him from Burkina Faso, accompanied by fighter jets in the air. All we see here is respect.
📍Shinyanga 🇹🇿
Ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Shinyanga umefikia asilimia 75 na unatarajiwa kukamilika mwezi juni 2025 na shilingi bilioni 48.5 zinatumika katika ujenzi huo. #MamaYukoKazini
@tplboard Naangalia EPL hapa #Everton vs #IpswichTown. Umakini wa waamuzi na usahihi wa maamuzi yao vinafurahisha sana. Nikirejea kilichokea jana pale KMC aibu naona mimi. Ligi ya 5 kwa ubora Afrika iendane na ubora kwa waamuzi. #KataeniWahuni.
“MTU NI AFYA” inawatakia heri ya Siku ya Wafanyakazi wote nchini!
Leo tunatambua mchango mkubwa wa kila mmoja katika kujenga taifa lenye afya, ustawi na maendeleo.
Tukiwa pamoja, tutaendelea kufanya kweli na hatutabaki nyuma
#MtuNiAfya 🇹🇿 | #MeiMosi2025 | #mtuniafya