Karibu kwenye mjadala wetu wa mwezi tutakaojadili mada ya “Fursa za vijana kwenye mnyororo wa thamani katika kilimo”. Mjadala huu utafanyika tarehe 29/07/2022 kwa njia ya mtandao wa zoom kuanzia saa 10:00 asubuhi-12:00 mchana. Bonyeza link kujisajiri : https://t.co/LU16Hf3zgA
From Agriedohub we would like to Celebrate all the women in the Agriculture sector that have strived to feed the world we Celebrate you and we Value You happy International Women Day.
#InternationalWomensDay#agribusiness
Agriedo Hub inapenda kuwashukuru wote mlio shiriki kwenye mjadala wetu wa mwezi wa kilimo biashara (Montly Agribusiness Series (MAS) - 04), uliokwenda kwa Mada ya Fursa zilizopo kwa Vijana kwenye mnyororo wa thamani wa Kilimo.
Shukrani za kipekee sana ziwaendee watoa mada kwenye mjadala huu Mr. Herbeth Sanga Mr. Revilian Ngaina na Mr. Kelvin Remeni kwa kutuongoza vizuri kwenye mjadala wetu na kutuonyesha Vijana Fursa nyingi zinazopatikana kwenye Mnyororo wa thamano wa Kilimo.
Karibu kwenye mjadala wetu wa mwezi tutakaojadili mada ya “Fursa za vijana kwenye mnyororo wa thamani katika kilimo”. Mjadala huu utafanyika tarehe 29/07/2022 kwa njia ya mtandao wa zoom kuanzia saa 10:00 asubuhi-12:00 mchana. Bonyeza link kujisajiri : https://t.co/LU16Hf3zgA
Karibu kwenye mdajala wetu wa mwezi tutakaojadili mada ya “Fursa za vijana kwenye mnyororo wa thamani katika kilimo”. Mjadala huu utafanyika tarehe 29/07/2022 kwa njia ya mtandao wa zoom kwanzia saa 10:00 asubuhi-12:00 mchana. Ili kushiriki bonya link : https://t.co/LU16Hf3zgA
Karibu kwenye mdajala wetu wa kilimo biashara utakuwa na mada iitwayo “Fursa za vijana kwenye mnyororo wa kilimo” .Tarehe 29/07/2022 kwa njia ya mtandao kuanzia saa 10:00 asubuhi-12:00 mchana. Ili kushiriki bonya link
kujisajili Link : https://t.co/LU16Hf3zgA
Tupigie 255743386617
Agriedo tumefungua milango ya kushirikiana na wadau wenye nia ya kukuza na kuboresha sekta ya kilomo pamoja na kuongeza ushiriki wa vijana kwenye kilimo.
Imekua furaha kwetu (Agriedo hub) kutembelewa na mwanzilishi wa Lyra Afrika Bi. Maria Spink ambaye aliambatana na viongozi wengine. Kwa pamoja tumejadiliana fursa za kushirikiana kwa lengo la kuwainua wanawake na vijana kwenye Kilimo.