Tunauza mazao ya kilimo na mifugo || Tunauza pemebejeo za kilimo || Tunauza dawa za mifugo || Tunatoa ushauri na elimu kwa wakulima na wafugaji || 0718228088
Tunanunua pembe za ng'ombe kutoka mikoa yote ya Tanzania.
Pembe tunazonunua zinapaswa kuwa na sifa zifuatazo;
- Ziwe nyeupe au za kaki.
- Zisiwe na mistari kwa ndani na nje.
Tazama picha kwa ufafanuzi zaidi.
Tunanunua kwa kilo.
Kilo moja ni Tsh 5,000/=
Wasiliana kwa 0718228088