Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiondoka nchini kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Julai, 2026 kuelekea Accra, Ghana ambapo atashiriki katika Mkutano Mkuu Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu afya, utakaofanyika tarehe 22 Julai, 2026 jijini Accra.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwa ajili ya kupokea heshima ya wimbo wa Taifa wa Tanzania baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Accra nchini Ghana, tarehe 21 Julai, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Afya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Accra nchini Ghana, tarehe 21 Julai, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Afya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia awasili jijini Accra kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Afya, nchini Ghana
One step further in facilitating African exports to China! Starting from 26 April, dried chilies from all 53 African countries having diplomatic relations with China are permitted to be exported to China under a regime of unified quarantine requirements. This eliminates the need to sign individual access protocols, thus accelerating quarantine approval processes for African dried chilies and promotes agricultural trade cooperation between China and Africa!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.
With the zero-tariff policy to Africa taking effect in May 2026, a 24-tonne shipment of apples from South Africa cleared customs in Shenzhen as the first batch to be exported to China under the new terms. A large number of high-quality agricultural products from African countries, such as Tanzanian honey and Rwandan chilies, will accelerate their alignment with Chinaโs market demand, bringing greater development opportunities for African businesses.
Read more: https://t.co/K4IrBU2Huq
Kupitia sera ya kutotozwa ushuru wa forodha (zero-tariff) kwa Afrika iliyoanza kutekelezwa Mei 2026, mzigo wa tani 24 za tufaha kutoka Afrika Kusini ulipitishwa katika forodha ya Shenzhen kama shehena ya kwanza kusafirishwa kwenda China chini ya masharti hayo mapya. Idadi kubwa ya bidhaa bora za kilimo kutoka nchi za Afrika, kama vile asali ya Tanzania na pilipili kutoka Rwanda, zinatarajiwa kuharakisha kuendana na mahitaji ya soko la China, jambo litakalofungua fursa kubwa zaidi za maendeleo kwa wafanyabiashara wa Afrika.
โ Top 20 Coffee Exporters in the World ๐
Coffee is one of the most traded agricultural products globally. Many countries export millions of tons of coffee every year, supporting farmers, industries, and international trade.
๐ Leading Coffee Exporting Countries
๐ง๐ท Brazil
๐ป๐ณ Vietnam
๐จ๐ด Colombia
๐ฎ๐ณ India
๐ฎ๐ฉ Indonesia
๐บ๐ฌ Uganda
๐ญ๐ณ Honduras
๐ต๐ช Peru
๐ช๐น Ethiopia
๐ฌ๐น Guatemala
๐ฒ๐ฝ Mexico
๐ฉ๐ช Germany
๐จ๐ญ Switzerland
๐ฎ๐น Italy
๐ง๐ช Belgium
๐ซ๐ท France
๐ณ๐ฑ Netherlands
๐จ๐ท Costa Rica
๐ฐ๐ช Kenya
๐น๐ฟ Tanzania
โ Interesting Facts
Brazil is the worldโs largest coffee exporter.
Vietnam is famous for Robusta coffee production.
Colombia is known for premium Arabica coffee beans.
India exports high-quality coffee mainly from Karnataka, Kerala, and Tamil Nadu.
๐ Conclusion
Coffee connects millions of people worldwide โ from farmers to cafรฉ lovers. These top exporting nations play a huge role in supplying the worldโs favorite beverage every day.
Thank you to my sister President @SuluhuSamia for the warm welcome to Tanzania and for the productive discussions.
Rwanda and Tanzania are not only neighbors but brotherly countries bound by history and a shared goal of prosperity for our people. Rwanda remains committed to building on this strong foundation by deepening our bilateral cooperation across trade, investment, infrastructure, logistics, energy, and regional integration.
I look forward to continuing our collaboration to achieve tangible results for our citizens and advance the East African Community.
Until recently, Hamideh Soleimani Afshar and her daughter were green card holders living lavishly in the United States.
Afshar is the niece of deceased Iranian Major General Qasem Soleimani. She is also an outspoken supporter of the Iranian regime who celebrated attacks on Americans and referred to our country as the "Great Satan."
This week, I terminated both Afshar and her daughter's legal status and they are now in ICE custody, pending removal from the United States.
The Trump Administration will not allow our country to become a home for foreign nationals who support anti-American terrorist regimes.