Watoto wa kwanza (first born) wanabebeshwa na kubeba mizigo mikubwa ya wajibu na lawama. Matarajio makubwa ya familia juu yao yanawabebesha wajibu, na wanaposhindwa kuyafikia matarajio hayo wanabebeshwa mzigo wa lawama. Mwenyezi Mungu awabariki na kuwawekea wepesi.
Walio tangulia katika jambo lolote kwa maana ya wale walio faulu au walio feli ....wote hao ni vitabu muhimu sana kusomwa, experiences zao ni kisima cha maarifa