University of Dar es Salaam Alumnus
Historian | Geologist
Exploring heritage, culture & archaeology πΉπΏ.
C.E.O. Costatino Transportation services.
#Ndugu wamiliki wa kampuni za usafirisaji, kutoka DSM kwenda mikoa mingine au kutoka Bandarini kwenda nchi jirani. How things goes there? Neno moja kwa kijana anaetaka kuwekeza nguvu zake huko..
#costantihnoTransportationservices
@maestrowafact Nina mtoto mmoja, Ilanikute mke wangu anacheat siwezi ruhusu kijanamwenzangu alombwe, Kuna mahakama, kuna wazee, kuna njia nyingi za kutoa adhabu kwa kijana na mwanamke. Ila kuruhusu mwanaume mwenzie aingiliwe kinyume kisa tuu kala mke wako au wangu. NOO!!
@maestrowafact Mwanamke anaejutambua na anajua ameolewa ni vigumu kushawishika. Kama umeoa mrangi basi ndugu Utalomba vijana wa mtaa wote na kazini kwake. Suluhisho sio kulomba vijana, chunguza Tabia ya mke wako usikute yeye ndie anataka vijana??you never know. Mm nimeoa---
πββοΈ Badilisha Afya Yako Leo! πββοΈ
Treadmill bora kwa mazoezi ya nyumbani au gym. Imeundwa kwa ubora wa hali ya juu ili kukusaidia kuchoma mafuta, kuongeza stamina, na kuboresha afya yako kwa ujumla.
β Rahisi kutumia
β Inafaa kwa kutembea na kukimbia
Bei 3,500,000.
πββοΈ Badilisha Afya Yako Leo! πββοΈ
Treadmill bora kwa mazoezi ya nyumbani au gym. Imeundwa kwa ubora wa hali ya juu ili kukusaidia kuchoma mafuta, kuongeza stamina, na kuboresha afya yako kwa ujumla.
β Rahisi kutumia
β Inafaa kwa kutembea na kukimbia
Bei 3,500,000.
Isaya 41:10
usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
Kuna watu hadi Leo wanaamini Simu refurbished ni simu mbovu kutumia π, kwanza inabidi mtu uelewe maana ya refurbished kwanza.
Watu hawafahamu kuwa kampuni kama Apple, Samsung Wana simu ambazo zipo refurbished. The issue ni kwamba simu inabadilishwa Genuine parts na kutumia tena