@Mac_humphrey255 @McinikaWaLamar_ @HKigwangalla@NjiwaFLow@kapeto98@mkandamizaji@OriginoZee17@heisbixen@fbuyobe@swadakta_ You forgot these two, one of Hector Peterson died in the Soweto Massacre South Africa and the other one of the young Japanese boy carrying a dead body of his young brother in the Second World War. Their history is very touching ππ
@HildaNewton21 Baada ya kuaminishwa kwa propaganda kwamba Iddi Amin ni mtu mbaya sn basi mpaka leo mpo na hio mentality kwamba Iddi Amin alikua mtu mbaya sana anakula maini ya watu ππ€£ daah siasa hizi. Kwahio ndio mmempa hilo Jina Mheshimiwa Rais ili kuaminisha watu kwamba nae ni mtu mbaya π
#PICHA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi mbalimbali tayari kuelekea Arusha ambako kesho tarehe 22 Novemba, 2025 atatunuku Kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA). #MillardAyoUPDATES
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amefanya mkutano wa hadhara wa kampeni kwa kuomba ridhaa ya wananchi wa jimbo hilo ili wamchague kuwa mbunge wao katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
Akihutubia wananchi waliokusanyika katika viwanja vya kampeni, Zitto amewaeleza kuwa dhamira yake ni kuhakikisha anakamilisha miradi yote iliyoanzishwa ndani ya jimbo hilo kwa manufaa ya wananchi.
"Leo nimerudi tena kwenu kwa ajili ya kuwaomba mnitume niende nikakamilishe kazi ambayo niliianza mwaka 2015 ikakayishwa mwaka 2020 tulifanya Kazi kubwa sana tulijenga heshima ya mji wetu tulijenga heshima ya mkoa wetu, tuliibua miradi mingi sana ambayo inakwenda kubadilisha uchumi wa mji wetu" amesema.
Aidha, Zitto amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi ili kutimiza wajibu wao wa kikatiba na kuchagua viongozi watakaosimamia maendeleo ya taifa na ya wananchi wa Kigoma kwa ujumla.
#mwananchiupdates
#Tunawezeshataifa
π¨β€οΈπ€ BREAKING: Viktor GyΓΆkeres to Arsenal, here we go! Verbal agreement in place between all parties involved.
Sporting accept last bid from Arsenal for β¬63.5m plus β¬10m, agent will reduce his commission.
GyΓΆkeres will sign five year deal at #AFC. He ONLY wanted Arsenal. πΈπͺ
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA NEC
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichofanyika katika Ukumbi wa NEC, jijini Dodoma, leo Jumatano, tarehe 28 Mei 2025.
#kazinaututunasongambele
#SafariyaUshindi2025
Dodoma, Mei 28, 2025
Mapema leo pamoja na viongozi, wananchi na baadhi ya wanachama katika uwekaji wa Jiwe la Msingi la Jengo la Ofisi za Makao Mkuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Tukio hili muhimu ni hatua nyingine inayoakisi ndoto za waasisi wetu na wananchi kwa ujumla, juu ya kuanzishwa kwa CCM. Lengo la waasisi wetu, wanachama na kila Mtanzania ni kuiona CCM inayoendelea kuwa jukwaa la wananchi kuamua hatma yao, na kudumu kuwa madhubuti katika kupanga na kutenda kwa manufaa ya wananchi.
Tutaendelea kuboresha miundombinu si tu katika Makao Makuu haya mapya ya CCM, bali pia kwenye ofisi zetu nchi nzima. Chama hiki ni mali ya wananchi. Ofisi hizi zitatumika si tu kwa shughuli za chama na utawala, bali pia kama sehemu ya kuwaandaa vijana kujijenga kiuongozi na kimaadili kupitia mafunzo, tafiti, sera, itikadi na mijadala kwa mustakabali wa Taifa letu.
Hongera sana @ProfJanabi kwa ushindi wa kishindo kuwa Mkurugenzi @WHOAFRO. Ni ushindi wa Rais @SuluhuSamia na Watanzania wote. Tunajivunia. Umetuheshimisha sana. Tunakuombea mafanikio mema katika kutimiza majukumu yako mapya. Ninavyokufahamu Profesa, sina wasiwasi kwamba utafanya vizuri sana. Afrika na Dunia watashangaa!
Kheri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kwetu sote. Nimefurahi kutumia sehemu ya siku hii na wananchi na wafanyakazi mkoani Singida, ambapo pia nimetangaza uamuzi muhimu wa Serikali kuongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1.
Uamuzi huu ni mwendelezo wa hatua tunazochukua kuboresha maslahi yao na wananchi kwa ujumla, pamoja na kazi ya kuchochea maendeleo nchini.
Nimetoa wito wangu kwao na wananchi wote kwa ujumla kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kutunza amani, umoja, utulivu na ustawi wa nchi yetu, hasa kipindi hiki tunapoelekea katika Uchaguzi Mkuu.
Wanachuo wanaosoma Chuo cha USIU -Africa
Chuo cha kimataifa kilichopo nchini Kenya π°πͺ,
Jana walikuwa na Culture Day,
Ambapo wanafunzi wanaotoka Tanzania πΉπΏ, walivaa vijora na kucheza Baikoko kuonyesha utamaduni wa Tanzania ππππββοΈ
Video kwa Comments π