🚨🚀| Stop what you’re doing and find a replay of this Clatous Chama strike.
An acrobatic worldie just 9 minutes into the Kariakoo Derby in the Tanzanian League?! 🤯🇹🇿
OMBI KWA AJILI YA WAALIMU
Jumatatu ya leo nimewiwa kuwaombea watumishi wote katika kada ya ualimu, ambao huamka asubuhi na mapema, wengine husafiri umbali mrefu kwenda shuleni kukutana… https://t.co/rzUUC6Er20
Siku ya leo ombi langu la dhati ziwaendee watumishi wa umma katika tasnia ya sheria, ambao kwa uaminifu wanatekeleza wajibu wao bila hata kutambuliwa, lakini wanahakikisha haki… https://t.co/22IGcXkd1C
Can somebody help me to wish this wonderful lady a happiest Birthdate, she's been the source of joy in our family all these years. Mungu akutunze mikononi mwake akikupatia amani furaha na… https://t.co/zMSCfwzUY2
Nini kimewasukuma watu ambao sasa wanatumia nguvu kubwa kumchafua @tundu_lissu ? Je walikuwa wapi kulaani kitendo katili alilotendewa na “watu wasiojulikana”? Na kwa ujumla wanafikiri matendo na maneno yao sasa yanatupa ujumbe gani kama si kwamba wako guilty? #ChangeTanzania
Leo mchana nimetishiwa kuuwawa na Afisa Usalama wa Taifa hapa Bungeni ukumbi wa Msekwa mara baada ya Mwenyekiti wa Kamati kuniondoa kikaoni Kwa kuwa sio mjumbe ( kinyume na kanuni za Bunge ). Afisa huyo alinifuata nje na kuniambia ‘ dawa yako wewe ni kukuua’. #BungeMfukoni
A day after tomorrow, another brand new giraffe, will land for the first time in the land of the Selous/Ruaha. This is the second of its kind to land in Africa, the Airbus A220 - 300, owned by the government of Tanzania. Congrats to President @MagufuliJP . #TanzaniaUnforgettable
Nini kitatokea endapo Baraza la Maaskofu wa KKKT na TEC wakigoma kukanusha waraka waliotoa, nani atainama ili upepo upite? Ni Serikali au ni Dini? Nimepata hamasa ya kucheki hii mechi mwanzo mwisho! Naomba tu mwisho wa mechi tupeane mikono, sisi ni watanzania!