YAH; PONGEZI MaCCM KWA KUTANGAZA BENDERA YETU KAMA “CHAPA YA COCAINE” DUNIANI.
Meli inayopeperusha bendera yetu imekamatwa 16.02.2026 El Salvador na shehena ya tani 6.6 ya dawa za kulevya. Lakini utetezi wa GIRISHONI umetolewa 26.02.2026, takribani siku 10 tangu meli hiyo yenye shehena ya dawa za kulevya kukamatwa.
Mlikuwa mnasubiri upepo upite, au mlikuwa mnapiga hesabu cocaine tani 6.6 zilivyoweza kutosha katika meli inayopeperusha utambulisho wa nchi yetu bila ninyi kufahamu? Upepo umepuliza na nyeti za kuku sasa zimebaki wazi. UNGA huo ni mali ya nani?
Kwamba, mnasajili meli kama line za simu? Inakuwaje meli yenye bendera yetu inanaswa na mzigo wa TZS 460bn huko El Salvador, nchi ambayo katika ramani wengi wa watendaji wenu hawaijui, bila mfumo wenu wa ufuatiliaji (Tracking System) kutoa ishara yoyote?
Hizo siku 10 tangu meli kukamatwa, mlikuwa wapi? Mlikuwa mnatafuta msamiati mpya wa kutupanga kwamba “mkataba wa usajili ulishaisha”? Maana hiyo ndiyo lugha yenu ya kila siku meli zetu zikinaswa na uharamia baharini. Hii siyo mara yenu ya kwanza.
ZENJI inaendesha open registry, lakini bendera inayopeperuka ni ya Muungano. Leo bendera yetu nzuri inapeperushwa “kambi za jeshi El Salvador” badala ya bandari za biashara kwa uzembe wenu wa kusajili meli za “magenge ya uhalifu” ili kupata dola za usajili.
Hatutaki kusikia “uchunguzi unaendelea.” Tunataka kuona watu wanawajibishwa. Huwezi kusajili meli inayobeba “canter tatu za cocaine” ikiwa na jina la nchi yako halafu useme “hatukujua.” Kama hamjui meli zenu zilipo, mnafanya nini ofisini? Mnakuna kende tu?
Acheni kutuona sawa na watoto wenu. Maelezo yenu ni kama rushwa. Hatupokei. Kama hamuwezi kulinda heshima ya bendera yetu baharini, futilieni mbali hiyo mifumo yenu ya usajili wa meli za nje (Open Registry) maana inatuletea laana na aibu kuliko faida.
Halafu tuelezeni, mzigo huo wa dawa za kulevya (cocaine) zilikuwa zinatoka wapi kwenda wapi? Huo mzigo wa thamani ya TZS 460 bilioni ni mali ya mdosi gani? Usajili (Zanzibar Maritime Authority - ZMA) unaonesha meli imesajiliwa kwa jina la nani. MTAJE
Endeleeni kuuza DHAHABU. SEMBE MTATUMALIZAAA..
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Mwananchi (Asiyechukua Rushwa ya Maelezo).
Thank you @EUinTZ and all partners
Just to be clear there is no legitimate government in #Tanzania@SuluhuSamia applauded the excessive force used against unarmed protestors and vowed a repeat on Dec 9
The #TanzaniaMassacre happened during a digital blackout which the illegitimate govt is about to repeat starting tomorrow
What @ccm_tanzania has to understand is that they have to come with terms that the country belongs to the people we are a Republic and peaceful protests is our right!!
Siku imeanza na 🔥
Matamko juu ya matamko - na ole wenu madhulmat mlete upumbavu tena #D9
Tupo hapa!
Wapendwa hii imetoka 👊🏽
#D9Tunatoka na mabango yetu kwa amani msiwe na hofu!
#SamiaMustGo
I’ve just seen the reports about Meta suspending Mange Kimambi ’s Facebook and Instagram pages, apparently after pressure from the Samia Suluhu Tanzanian government.
This is exactly why I’ve never fully trusted Meta.
Why would Mark Zuckerberg bow to political pressure from any government, especially when the voice being silenced has been speaking for democracy?
Mange has been highlighting the struggles of ordinary Tanzanian families. She has been highlighting the deaths and killings done by the Tanzanian government against Tanzanians
She has been raising uncomfortable truths.
If anything, that voice deserves protection, not punishment.
Silencing critics doesn’t solve injustice.
It only deepens the wounds of a people already fighting to be heard. Meta is now enabling injustices.
My people, if you can, tag Meta in the replies and demand fairness.
No platform should assist in suppressing civic voices anywhere.
Facebook
Restore Mange Kimambi’s accounts.
Restore fairness.
Restore the right of the people to speak.
🚨‼️Tamko la Gen Z 🇹🇿 kuhusu mkutano wa wazee‼️
Vijana wamenyooka 🔥
👉🏽 hawa sio Wazee wa Dar ifahamike kuwa hawa ni Wazee wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar na wanakwenda kukutana na Mwenyekiti wao wa Taifa CCM lakini pamoja na hayo Wazee wa Dar watusaidie kumwambia Samia Suluhu kwamba yeye sio Rais wetu - hatujamchagua, hakuna uchaguzi uliofanyika kwani Gen Z walifanikiwa kuonyesha dunia kuwa hakukuwa na uchaguzi.
👉🏽 Wazee Wa Dar watumie fursa hii kumshinikiza Samia Suluhu kujiondoa Madarakani na wamwambie Samia arudi Kizimkazi akalee wajukuu huku akisubiri kuwajibika iwe ndani au Mahakama za Kimataifa kwa mauaji aliyoyafanya tarehe
29-30 October.
Kwa kifupi #SamiaMustGo
#D9 iko palepale 💪🏽
#D9Tunatoka
Samia Suluhu family INC running the ILLEGITIMATE government in #Tanzania
Minister of Finance - brother in law
Minister of Health - son in law
Minister of Defence - family friend who was the matchmaker of family marriage
Deputy Minister of Work - niece
Special seat MP - daughter
Deputy Minister of Education - daughter
Huu ni zaidi ya upumbavu! Sasa mmeua Okt 29 na mnapanga kuua zaidi Dec 9 kwa ajili ya family and friends ya mtu mmoja!? Hebu mjipime akili! Watu milioni 70 tuongozwe kiwaki hivi?
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre
#BREAKING: TANZANIA PRESIDENT SAMIA SUED AT ICC OVER ALLEGED CRIMES AGAINST HUMANITY
Tanzanian President Samia Suluhu Hassan has been sued at the International Criminal Court (ICC) over accusations of crimes against humanity.
A petition filed by lawyer Juan Carlos Gutierrez, acting as victims’ representative, alleges that Tanzanian security forces have murdered thousands of civilians, enforced disappearances, tortured detainees, committed sexual violence, displaced Maasai communities, and carried out cyber‑enabled repression since 2016.
Read More: https://t.co/0UWxFufpWW
I’m a Messi fan.
But I have to admit that Cristiano’s influence has overshadowed Messi’s by far.
For starters, Ronaldo is a billionaire, Messi is not.
When the Saudi Crown Prince was going to see Trump last week, he brought Ronaldo along.
It’s almost as if the whole country is saying, “this star (CR7) is one of our achievements.”
Even Trump felt impressed with Ronaldo and shared several of their pictures together (including an AI video of both of them playing football.)
I respect Ronaldo’s soccer skills but I admire even more his business sense.
He knows how to score goals.
And he always secures the bag.
Be like Ronaldo.
CNN confirms that the woman you see being shot here by Tanzania Intelligence and Security Services plain clothes officers was three months pregnant. She leaves behind her husband and two young children.
Geolocated videos from the scenes, audio forensic analysis of the shots fired and first-hand accounts from witnesses and victims document the brutality unleashed on young demonstrators following the re-election of President Samia Suluhu Hassan – who claimed she won with 98% of the vote on October 29 after barring her chief rivals from the presidential race. https://t.co/aYUhkIjyjx