@KWrudate@Mofey203 ππbora utoke na dem(bonge) unajua kabisa apa unapiga pekeako kuliko kutoka na dem kama yule wanangu wa ifm washakula sanaaππsikuamini nilivyoona picha zake
@assengajrr@OnlyTimeTellz@Labella_Mafia95 Tafuta hotuba moja ya JPM alikuwa anakataa uchawa mbele ya wananchi sasa ww sijui unausemea uchawa gani? Kitu kingine ukiwa mpinzani muwe mnasema na mazuri yake sio kukanyagia mkuu
Swala la maji enzi zake alikuwa hataki mwananchi hateseke mabaya yapo tusisahau na mazuri yake mkuu