Mshambulizi wa CD Tenerife Jesus de Miguel aaga dunia akiwa na umri wa miaka 30.
Jesus ameaga dunia leo kufuatia jeraha la kichwa na kifua aliyopata alipogongana na kipa wa Andorra Jesus Owono jana uwanjani, tukio lililopelekea kipa huyo wa Andorra kuonyeshwa kadi nyekundu