Tanzania's leading building solutions provider, proudly part of SAFAL Group. Committed to delivering high-quality solutions for all your building needs.
Kila picha ina hadithi ya kusimulia.
Usiache hadithi yako nyuma. Ambatanisha eneo halisi, maelezo ya mazingira na hadithi fupi ili kuipa picha yako maana zaidi kwenye Safal Eye in the Wild 2026.
Kila picha inasaidia elimu.
#SafalEyeInTheWild#JengaMustakabaliWako
#SafalMRMFoundation #MRMCares
πΈ Kabla ya kutuma picha yako kwenye Safal Eye in the Wild 2026, hakikisha inakidhi vigezo vya mashindano. Picha bora huanza kwa kufuata maelekezo sahihi.
ποΈ Mwisho wa kutuma picha: 20 Juni 2026
Kila picha inasaidia elimu.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
#SafalEyeInTheWild #JengaMustakabaliWako #SafalMRMFoundation #MRMCares
πΈπΏ Mashindano ya Safal Eye in the Wild 2026 yameanza rasmi!
Je, una picha inayoweza kusimulia hadithi kuhusu mazingira, uhifadhi wa asili na mustakabali wetu? Huu ni wakati wako wa kuonyesha ubunifu wako na kupata nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali huku ukichangia kuleta mabadiliko chanya katika jamii.
Wasilisha picha yako leo na uwe sehemu ya safari ya kuleta mabadiliko kupitia upigaji picha.
*Vigezo na masharti kuzingatiwa.
ποΈ Mwisho wa kutuma picha ni tarehe 20 Juni 2026.
#SafalEyeInTheWild #JengaMustakabali Wako#UpigajiPichaWaWanyamapori #UzinduziWaMashindano
Special thanks to Mbeya University of Science and Technology (MUST) for hosting us during the professional lecture on industrial building construction.
The ALAF team had the opportunity to interact with final year engineering students and faculty, sharing practical insights on construction and real-world industry experience from our work in the field.
#ALAF #Miaka65YaALAF
Engaging the next generation of engineers at Mbeya University of Science and Technology (MUST), where industry meets academia. Through knowledge-sharing on modern industrial building solutions, we continue to support skills development and inspire future professionals.
#ALAF #Miaka65YaAlaf
π‘β¨VERSATILE ndiyo ile nyumba inayo-stop watu mtaani wasimame, washangae.
Usikubali nyumba yako ipitwe kama nyingine.
Fanya iwe ile ya kusimamisha watu. π
π Wasiliana na huduma kwa wateja bure kupitia namba 0800 750 194 kwa msaada zaidi kuhusu VERSATILE.
Chagua Alaf, ishi nayo!
#ALAF #Miaka65YaAlaf #VERSATILE
Safal Alaf Foundation, tunahamasisha jamii kuchukua hatua za kila siku zinazosaidia kulinda mazingira. πβ»οΈ
Punguza matumizi yasiyo ya lazima ili tuijenge dunia bora kwa vizazi vijavyo.
Heri Siku ya Mazingira Duniani π±
#SafalAlafFoundation#AlafCares#SikuYaMazingiraDuniani
#SafalEyeintheWild
Ujenzi usio sahihi = gharama kubwa baadaye β
Tumia SAFBUILD kwa ujenzi wa haraka, salama na wa kudumu. β
β Uimara wa muda mrefu
β Ufanisi wa gharama
β Mradi unaokamilika kwa wakati
Tembelea showroom ya ALAF iliyo karibu nawe au ofisi zetu zilizopo Nyerere Road, Plot 18.
Au wasiliana nasi BURE: 0800 750 194 βοΈ
#ALAF #Miaka65YaAlaf #WeweTu
Romantile ni zaidi ya muonekano wa paa.
Kila kipengele chake kimeundwa kwa lengo la kuongeza uimara, kurahisisha uezekaji na kutoa ulinzi wa muda mrefu. πͺπ§οΈ
#ALAF#Miaka65YaAlaf#TambaNayo
Majibu sahihi yako mkononi mwako!
Chagua swali lako kwenye ukurasa wa FAQ wa ALAF ujue unachohitaji kabla hujachagua bati lako.
Tembelea https://t.co/si4e8zZ5ua ujipange kwa uhakika.
#ALAF#Miaka65YaAlaf#UkiwekaUmeweka
Ubora unaonekana, uimara unaodumu!
Kutoka Wave, Shingle hadi Roman, kila aina ya Lifestile sheets imeundwa kutoa ulinzi wa muda mrefu, muonekano wa kipekee na utendaji unaoaminika katika kila nyumba.
Chagua mtindo unaokufaa, uwe na paa linalodumu.
#ALAF#Lifestile#LifeNdoHili
Jasho. Nguvu. Ushirikiano. πͺπ½π₯
Hivyo ndivyo Team ALAF ilivyojitokeza kwenye Dar City Marathon jana!
Hongera kwa wafanyakazi wetu kwa kuiwakilisha ALAF kwa nguvu, ari, na kujituma. ππ½ββοΈππ½ββοΈοΏ½οΏ½οΏ½
#ALAF #DarCity #AbsaDarCityMarathon
#RunDar
Nyumba ya kisasa inahitaji paa linalodumu bila kutu.
COVERMAX inalinda paa lako dhidi ya kutu na kulifanya liendelee kuonekana jipya kwa muda mrefu. β¨
Chagua bati la #COVERMAX leo, upate dhamana ya miaka 7 ya uhakika.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi BURE kupitia 0800 750 194.
#ALAF #Miaka65YaAlaf #MkatabaNaNusu
Watoto wanacheza π§π¦
Familia inafurahia muda pamoja β€οΈ
Na nyumba inaleta amani ya moyo.
Ukiwa na paa la #ROMANTILE, nyumba yako inakuwa sehemu ya furaha na utulivu wa familia.
#ALAF#Miaka65YaAlaf#TambaNayo
Kwa wamama wote wanaoifanya dunia yetu kuwa bora zaidi, asanteni. Tunathamini nguvu zenu, bidii yenu, pamoja na upendo na uangalizi wenu wa dhati.
Heri ya siku ya Mama Duniani!
#ALAF#SikuYaMamaDuniani