โKwa maana mshahara wa dhambi ni kifo; lakini zawadi anayotoa Mungu ni uhai wa milele katika kuungana na Kristo Yesu, Bwana wetu.โ
Waroma 6:23 BHN
https://t.co/8VvULe2se8
"Umbea na majungu huzaliwa watu wanapokuwa na muda mwingi wa kuongea kuliko sababu iliyowakutanisha. Kuwa mwepesi kuaga unapomaliza yaliyokukutanisha ama yaliyokupeleka. Utaepushwa na mengi." ~Togolani Mavura.
KUWA kiongozi mzuri siyo lazima uitwe Mheshimiwa. Hapo hapo nyumbani. Hapo hapo dukani. Hapo hapo kazini. Hapo hapo shuleni. Hapo hapo hospitali. Hapo hapo kanisani. Saidia watu. Fanya jambo zuri la ziada. Weka mipango. Fanya tofauti na wanaokuzunguka.
The zeal.
Praise Better Than Complaint:
โIt is better to praise the Lord
than to complain. Let not our tongues utter words of which we shall
be ashamed when Christ shall come in His glory with all the holy
angels with Him.โ
Manuscript 95, 1909.
#HappySabbath
Continual PraiseโOur voices should be oftener heard in praise
and thanksgiving to God. His praise should continually be in our
hearts and upon our lips.โThe Review and Herald, May 22, 1900.