Maombi ya kazi. Ni kufanya kazi kwa kuomba katika ulimwengu wa roho. Roho Mtakatifu anakupa nguvu ambayo unaitumia kwenye maombi ku-fix kitu. Kadri unavyoomba ndivyo unasukuma maombi na kuachilia nguvu inayoenda kufanya kazi katika ulimwengu wa roho. Utaona mahali pengi, Yesu
Goodmorning!
Kuwa na Afya nzuri kimwili na kiakili ni jambo la kwanza la kukupa faraja na nguvu ya kupambana kwenye kujitafuta kimaisha π,
Achana na wivu
Achana na chuki
Acha kufurahia magumu na aibu za watu
Acha roho ya ukatili
Havitakusaidia zaidi vinakuondolea barakaπ
Work is not just about earning a paycheck. It is about finding purpose, contributing to society, and fulfilling our potential. With the right mindset, any job can be fulfilling and rewarding.
1. Kunywa Maji kabla ya Chochote Ukiamka.
2. Mshukuru Molla kwa Kuwa na Afya Njema na Leo.
3. Fanya Meditation π§ββοΈ angalau kwa dk 10-15.
4. Fanya Mazoezi.
5. Mungu na Abariki kazi za Mikono yetu na Wiki Hii Tena!
Good Morning π.