@HildaNewton21 Sisi uchafu uliokataliwa huko na sisi ni vizuri tukaukataa sisi kila kitu tunawapa wageni tutabakiwa na nini hata vitu tunauwezo wa kuvifanya mnawapa wageni vijana wanaomaliza vyuo vikuu tutawapeleka wapi mnagawa kila kitu
@IdrisSultan Wasanii wa tanzania mpo kweli ?mwezenu sugu kaumizwa na kulazwa hospitali mpo kimyaaa nawaomba watu nanyi wawasusie kwa kila jambo lolote mtakalolifanya mpaka pale mtakapo jitambua yakua mnatakiwa kuwa na sauti moja pia namuuliza naibu waziri wa michezo nawe upo kimyaaa hujaona?
@VitusNkuna Unampigia simu ili nini kuna nini chako ulikisahau ofisini mwake sema shida yako iliyokupeleka huko acha na mbowe na chadema angaikia njaa yako na familia yako waite na uliowaacha huku hatuhitaji uchafu mchungaji usiekuwa na Aibu kibwetere wee muongo sana we
@Jambotv_ Kwa nini hizo pesa hamkununua vifaa vya hospitali raisi anazo helkopta nyingi tu za jeshi na nyinginezo yaani ninyi viongozi uwezo na ubunifu wenu ni Zero hakuna chocho nachoweza kmsaidia rais kwa maendeleo ya nchi raisyupo mwenyewe usaidizi hana
@Mwabuk2Boniface Mtu mkweli siku zote hapendwi waache wakucheleweshe siku inafika watakimbia wakikuona kutokana na maovu yao mimi ninahakika muda umefika wa kusema hapa huo ni uovu mwabukusi yesu akulinde maadui wako ni wengi hata wale unao cheka nao ni adui zako
@hancymachemba@tanescoyetutz Nimenunua umeme naambiwa nadaiwa sh 5000 sikupata umeme naambiwa nadaiwa sh 5000 mimi kila mwezi nanunua umeme leo tunaibiwa kwa nguvu huu ni wizi wa wazi kwanza wametuongezea sh 500 bila kututaarifu huu pia ni wizi
@MwanzoTvPlus Nakutakia kila la heri yesu yupo. Nawe ila kumbuka unao maadui wengi sana hivyo chukua taadhari kubwa wewe ni mtu unaewindwa kila upande ila. Mungu amesimama nawe kila upande wako mkono wa mungu upo juu yako
@Getrude_mollel Getrude ninahakika kuangalia siku zinazokuja siyo vibaya ila wewe unaiona siku hiyo moja tu uliyoamka nayo maisha yanabadilika na siyo wote watakuwa wavumilivu na wapumbavu na wajinga watakuwa asilimia ndogo sana acha kujidanganya angalia kesho fungua macho
@Mwanahalisitz Hawa ndiyo wanajiita wabunge wanaowakilisha wananchi tunacho waambia ni hiki ubunge mlionao huu ammbao mlipewa ovyo ovyo tu huo ndio wa mwisho hamtauona tena ukumbi wa bunge inaonekana mmelewa kwa pesa za kodi zetu ajiuzulu kwenye jimbo lake liwakilishwe na nani
@rose_mayemba@tanpol Hello rose pole usijali unajua mungu akupenda waache watahangaika sana wao wanajua kusema tumuongezea fulani muda aendelee madaraka