Samia’s delegation in Vatican https://t.co/LsONeZB4bk trying to clean her image globally.
Meeting His Holiness Pope Leo XVI
does not legitimise an unconstitutional government that massacred its citizens, nor does it cleanse the killer Samia Suluhu Hassan. @SuluhuSamia ,@ikulumawasliano@j_kabudi
The World knows what you have done, and Vatican knows its details in advance. @VaticanNews@EWTN@EWTNews. So, the right and straightforward action is Samia to step down with its illegitimate government having killed people who boycotted the general election deliberately, and followed majority of youth in their homes and social places.
These are some of the thousands of people who were killed deliberately by Samia Suluhu Hassan. Just to refresh your memories.
#Samia&CCMustGo
@TRobinsonNewEra This guy might be neurodivergent but at this stage police are focused on managing him physically. I hope they will not only investigate the incidence at hand and his challenges. He does not look alright. Needs more help than mistreatment.
@mangekimambi Nimesema hili kama saa moja iliyopita Club House. Lazima kuwe na coordination na kuongeza kibano kwa hawa wauaji hadi watoke ikulu na bungeni, ndipo tuijenge nchi.
Ningeomba kila Mtanzania afikirie kwa kina na kisha tutoe mawazo yetu nini kibadilike kwa wanaharakati.
Mimi personally naona kama wanaharaki wengi harakati zao zinaharibu movement kuliko kupeleka movement mbele.
Just because tuko same side doesn’t mean tuangalie tu pale some of us kazi wanayofanya ni more damaging to the movement kuliko kusaidia movement.
Yani mpaka naona kama kunahitajika training ya wanaharakati kufanyika au labda kuwe na group la wanaharakati ambapo kabla mtu hajaposti upuuzi wowote ambao katumiwa DM anatuma kwenye group then wanaharakati wengine wanatoa mawazo.
Too much fake news na ukurupukaji wa habari kitu ambacho sasa kinafanya wanaharaki wote tuonekane waongo with zero credibility.
Yani wao kila kitu anachotumiwa DM wanaruka nacho without thinking.
Hakuna strategy ya mapambano hakuna matumizi ya akili, hakuna strategy ya kuondoa wananchi uwoga na kuwawekea safe space ya kukutana na wananchi wenye fikra kama zao. Hakuna effort ya kujenga sailoji ya wananchi ni kuposti upuuzi wanaokota okota huko.
Wanaharakti wengi are killing the movement instead of advancing it kwa sababu ya ukurupukaji.
Hawajui hata target audience yao ni nani na jinsi ya kuwatengenezea safe space kwenye platform zao. Wao wanadhani the whole of Tanzania is their target audience, hapana target audience ni Watanzania wanaodai ha tu.
Naomba tushauriane jinsi ya kudili na hili tatizo.
Mfano I saw 3 huge mistakes just this last week alone, tena wiki ya maandamano, Story ya kimama kukimbia nchi, then akajitokeza kuwaharibia credibility kwa wanancji, ile barua feki ya wanafunzi wa vyuo vikuu na mbaya zaidi ile ya jana usiku wa manane wanaharakati wanaposti na kuriposti habari ya kuwaarifu Watanzania kuwa wauwaji wa KMKM kutoka Zanzibar wameingia bara na kuvalishwa nguo za polisi, really, hii ndio message ya mwisho wanaharakati kuwapa waandamanaji??? So CCM wawape habari za kutisha na nyie pia muwape za kutisha.
Alafu naomba mnisamehe kwa ambao nitawakwaza. Sio kama nataka kuwa kiongozi wa movement au kujifanya mjuaji na wengine hawajui, hapana hakuna kiranja kwenye hii movement, wote tuko sawa ila lazma turekebishane la sivyo hakuna mwananchi atatoka kuandamana kwa kuhamasishwa na watu ambao hawana credibility!!!! THIS IS WHY NAONGEA!!!!!!!!! Bila kujenga credibility na uaminifu na u-seriousness na kujenga saikolojia za Watanzania hakuna Mtanzania atatoka kuandamana tena, watakuwa wanafanya maandamano ya kukaa ndani, which is not enough
‼️DEREVA WA MHE. HECHE AKUTWA AMEKUFA DAMU DAMU ZIMETAPAKAA SAKAFUNI.‼️
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, Mheshimiwa John Heche
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma.
Mwili umechukuliwa na Polisi kuupeleka hospitali ya mkoa wa Kigoma kwa ajili ya taratibu nyingine za uchunguzi.
Chama kinatoa pole kwa familia ya marehemu, wanachama, ndugu jamaa na marafiki kwenye msiba huu mzito.
Taarifa zaidi tutaendelea kuzitoa.
Bwana alitoa. Bwana ametwaa. Jina lake lihimidiwe. Amina
@bantubikoI60519@HecheJohn@freetanganyika kama ni wakristo, hawaijui misingi mikuu ya imani. Kanuni ya Imani inawaunganisha wakristo wote bila kujali dhebu lao. Kama hawaamini katika ufufuo na uzima wa milele, hao ni majitu mengine ya mataifa.
Duru zinasema kwamba kuanzia juzi yani Jumamosi Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaondoa familia zao nchini na kuzipeleka njee ya nchi, wengi wamesafirisha familia zao kwenda Dubai.
Niwazi kwamba Maandamano ya Wananachi ya Julai 7 yamewafanya wamejaa upepo sana.
Mnaogopa nini nyie wauaji??😂
‼️Mipango miovu ya CCM na polisi‼️
Nimepokea taarifa hapa na pale ila chanzo hiki ndo imeeleza kwa kiina kile kinachosemwa kipo ktk mipango ya mafedhuli dhidi ya CHADEMA
Vijana kupewa silaha na kujifanya wametumwa na Chadema! Ujinga na upumabvu ila ndo wamekomea hapo kiintelijensia!
Kwa mujibu wa mtoa taarifa Walikuwa Morena hotel wakipanga na jana wakati wa giza nene ndo walikuwa wanasambaza vitu
Picha za ushahidi nimehifadhi kwa sasa
Haya ndo mambo yao - ushenzi mtupu!
Plot to implicate opposition CHADEMA in a false flag event! The police and CCM are planning to give weapons to 20 young men in every region then claim that they were armed by Chadema - to prove their stupid lies that #TanzaniaMassacre in October 2025 was done by opposition
#SamiaMustGo #CCMmustgo
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba… Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
Nami naendelea kuhimiza mikataba ya rasilimali iwekwe wazi kwa mujibu wa sheria. Si ajabu ni mizuri lakini sasa asemavyo Mhe Mpina kwanini kificho? Unaliletaje taifa pamoja bila kujenga TRUST? KUAMINIANA?
‼️MPANGO WA JESHI LA POLISI DHIDI YA CHADEMA‼️
Kama mtakumbuka siku kadhaa zilizopita ilisambaa taarifa kuhusu Jeshi la Polisi kuvamia nyumbani kwa Yoramu Mbyela (Huyu kwenye picha) ambae ni mfanyabiashara anaeuza vifaa vya CHADEMA ikiwemo matisheti, bendera, madera, kombati, n.k
Polisi wakiwa na gari aina ya FUSO walivamia nyumbani kwake, wakamlazimisha mke wa Mbyela afungue duka, kisha wakabeba na kuondoka na mzigo wote wa vifaa vya CHADEMA ambao waliukuta dukani kwake.
Mke wa Mbyela pamoja na Wakili wao wamefuatilia huo mzigo wao, Polisi wakarudisha baadhi ya vitu lakin mzigo mkubwa wakakataa kurudisha mpaka leo bado wamebaki nao.
Sasa nimejulishwa kwamba Jeshi la Polisi wamebaki na huo mzigo kwasababu wanampango wa kuutumia kufanikisha mpango wao dhidi ya CHADEMA hii ni kutokana na hofu waliyonayo kuhusu Maandamano ya 7/7 yani Julai 7, 2026.
Wamepanga kuwavalisha nguo za CHADEMA watu wao ambao ni Green guard, UVCCM na baadhi ya migambo kisha watawapeleka huko porini ambapo badae Polisi watajifanya kwamba wamevamia eneo hilo baada ya kupata taarifa kutoka kwa Wananchi kwamba waliona kuna kundi la watu ambao hawajui ni akina nan.
Baada ya Polisi kuvamia eneo hilo watautangazia umma kwamba Vijana wa CHADEMA wamekamatwa huko porini wakiwa wanapewa mafunzo ya kijeshi kwa ajili ya Maandamano ya Julai 7 ili Msajili apate sababu ya kuingilia kati aseme kwamba CHADEMA imevuja sheria ya vyama vya Siasa maana Sheria ya Vyama vya Siasa ilipiga marufuku vikundi vya ulinzi na mafunzo ya kijeshi mwisho wa siku CHAMA kinaweza kufutwa.
Lakin pia Jeshi la Polisi litakuwa linawavalisha UVCCM hizo nguo za CHADEMA kisha wanawatuma kwenye mikutano ya hadhara ya CHADEMA kufanya fujo ili ionekane CHADEMA wanagombana wao kwa wao.
Sasa ni muhimu sana Wanachama wenzangu mnapoenda kwenda Mikutano, hakikisha unamtambua mtu ambae umekaaa nae jirani ukiona kuna mtu/watu huwaelewi toa taarifa kwa Viongozi wa CHAMA, hawa wahuni wakivamia mikutano yetu inatakiwa muwape HAKI YAO YA KIKATIBA.
@MariaSTsehai@peppatz@tanpol Wale wazee wa kusababisha nyomi utawaona mahakamani wamekuja wenyewe bila hiyo nyomi. Ila wakija mkutano wa hadhara Dsm watajaza nyomi.
Jiongezeni au jipunguzeni ili mfikiri bila kuwaza mambo magumu. Inawezekana tu kama umeamua kutofanya kitu.
Dar es Salaam stand up
✊🏽
Tarehe 11 June lazima kusimama na Tundu Antipas Lissu mahakamani
Na nyie @tanpol huyo George Bagyemu na bosi wake wajishikilie siku hiyo tusisisikie watu wamezuiwa kuingia mahakamani!
#FreeTunduLissu
“#Tanzania has seen serious democratic backsliding, political #repression and violations of fundamental rights,” David McAllister, the chair of the Parliament’s foreign affairs committee told @Euractiv newsletter Rapporteur.
https://t.co/hcQYKbdnVi