Mahojiano ya Mwami @zittokabwe Clouds Fm & Tv kama umepitwa fuatilia hapa amegusia mambo mengi
✍🏻Juu ya Uchumi wa Watu
✍🏻Vyombo vya dola kushiriki siasa
✍🏻Tafsiri haswa ya uzalendo
✍🏻Uthibiti wa Serikali katika Sekta
Na mengine mengi 🍿
https://t.co/rXXnuryF0H
#SupaBreakFast ya kesho tarehe 14 Mei, 2026 asubuhi kuanzia saa 1:00 asubuhi Kiongozi wa Chama Ndugu, @SemuDorothy atakuwa mgeni kwenye kipindi hicho.
Usipange kukosa!
"Tuliikataa Tume ya Chande. Hatujaipa ushirikiano. Tunahitaji Tume Huru; tume itakayoundwa na Jumuiya za kimataifa kama vile SADC, AU na UN. Wahusika wote wa mauaji ya Oktoba 2025 watiwe hatiani"
Kiongozi wa @ACTwazalendo@SemuDorothy#ACT2026#UkweliHakiUwajibikaji
Rais @SuluhuSamia kuna ujumbe wako huku
"Tunamweleza Rais Samia. Hatuwezi kuitoa nchi hapa ilipo kama hatutakubali ukweli ufahamike; na watu waliohusika na mauaji ya raia waweze kuwajibishwa."
Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara
@MchinjitaIR#ACT2026#UkweliHakiUwajibikaji
Sijui walikuwa wakiimba nini, walakini kwa hakika ninachojua ni hiki👇🏿
Furaha ya miaka 12 ya kuzaliwa @ACTwazalendo. Tumepanda milima, tumeteremsha mabonde, na bado siye ACT ndio chama pekee kinachokua kwa kasi nchini Tanzania.
#ACT2026#UkweliHakiUwajibikaji
📍 Pemba Zanzibar
Leo Mei 7, 2026 Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Mkoa wa Wete, Ndugu Juma Khamis Ali ameanza ziara ya ujenzi wa chama katika Jimbo la Mtambwe kwa kutembelea tawi la Mtambwe Mkuu.
Katika ziara hiyo, amekabidhi kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya tawi pamoja na matofali 1,000 na mifuko 50 ya saruji kusaidia ujenzi huo.
Ziara Ndugu Mwenyekiti wa Mkoa inatarajiwa kuhusisha matawi 120 ya Mkoa wa Wete ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha na kukijenga chama kuwa imara zaidi.
#ZanzibarMpya
#ZanzibarMoja
#MamlakaKamili
Jana Mei 5, 2026 Kiongozi wa Chama cha @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy amehutubia mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.
Mkutano huo ulikuwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 12 ya Chama cha ACT Wazalendo.
#ACT2026#UkweliHakiUwajibikaji
Baadhi ya viongozi waliowasili Pemba kwenye kongamano la Muungano leo ni pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Chama Ndugu @omarshaaban80, Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu @Esther_Thomas1 na Naibu katibu Mwenezi Ndugu @ayo_shangwe#KongamanoLaVijana
"Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mkuu wa Majeshi waondolewe kazini kwa kushindwa kuwalinda Wananchi Oktoba 2025."
Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara
@MchinjitaIR#ACT2026#UkweliHakiUwajibikaji
📍 Zanzibar, Pemba
Aprili 26, 2026 Mgeni Rasmi Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Mhe. Othman Masoud Othman amewasili katika kongamano la Muungano lililoandaliwa na Ngome ya Vijana.
#KongamanoLaMuungano
Kiongozi Mkuu wa ACT Wazelendo Bi. Dorothy Semu leo tarehe 25 Aprili 2026 amezungumzo na @hechejohn Makamu Mwenyekiti Bara wa @CHADEMA ofisini kwa makao makuu.
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Dorothy Semu amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu John Heche.
Semu ametembelea Makao Makuu ya CHADEMA kwa ajili ya kutoa salamu za mshikamano kwa Chama hicho baada ya kufunguliwa kufanya siasa baada ya kifungo cha muda mrefu.