@leona58769@millardayo Hii ni njia ya kwenda kuuza mlima mazima, kama wataweka mashamba chini ya mlima it means hakuna mtu ataruhusiwa pande hizo na wao ndio watakuwa wana control wapanda mlima.
@hammy_uncle@millardayo Hata ingekuwa ni nini, kuna kitu gani hawa jamaa wamefanikiwa 100% dodoma wine inazalishwa hapa kila kitu ni hapa lakini haipatikani kwenye local shops halafu wanataka kukimbilia kitu kingine.
Waguni ni wahuni tu, huwa hawabadiliki. Wahuni wanazeekaga na uhuni wao.
@royalmediatz Hamna jeuri hiyo labda muende kusifia na kupewa posho tuโฆ nyie sell out na hakuna kijana anayewaamini tena labda hao vijana wa mfumo ndio watakuwepo.
Yani nyie na uvccm ndio mtakuwepo kwenye hayo maandhimisho na sio kijana wa kawaida wa Tanganyika.
Djed Spence anajiona nani mpaka amhukumu Partey? Kama ana ushahidi aweke mezani, kama hana ni bora aache mahakama ifanye kazi yake.
Sisi tupo na Partey mpaka ithibitishwe vinginevyo. Innocent until proven guilty. ๐ช๐พโช๐ด #AFC
"Said Issa Mohamed na wenzake wameisababishia Chadema hasara ya zaidi ya bilioni 100 na mawakili wao wameshiriki kusababisha hiyo hasara. Tutawasaidia waweze kulipa kwa namna inayostahiki." Mhe. Rugemeleza Nshala, Mwanasheria Mkuu wa Chama