Kombe la World Cup limetengenezwa kwa dhahabu halisi ya karati 18 (18-carat gold), lakini sio dhahabu tupu (solid gold) kutoka ndani hadi nje. Lina takribani kilo 5 za dhahabu ya karati 18 na sehemu ya chini imetengenezwa kwa jiwe la kijani linaloitwa malachite.. ๐
Tatizo ni kwamba kujiandaa na World Cup na kuonekana vizuri uwanjani ni vitu viwili tofauti.. Ukicheza dhidi ya Mexico mbele ya mashabiki zaidi ya 80,000 kwenye Estadio Azteca, presha yake ni kubwa sana! ๐ค
Guys, huyu Elliot Anderson sidhani kama anathamani ya pesa zinazotajwa kwa sasa. Naona zaidi City wamekuwa desperate kupata kiungo kuliko kwamba Anderson ni mchezaji wa kiwango cha ยฃ120M+.
๐ค
Matactical, Mexico anaonekana kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuondoka na pointi 3 dhidi ya South Africa.
Faida ya kucheza nyumbani, uzoefu wa mashindano makubwa na uwezo wao wa kushambulia vinaweza kuwa tofauti kubwa kwenye mchezo huu...