Watawala wanaweza kuchelewesha HAKI ya Mh-Lissu kwa kufanya yote wanayo fanya juu yake.
Nawakumbusha tu. Mh- @TunduALissu atakuwa Rais wa Taifa hili 2030 na hakuna mamlaka yoyote duniani wa kulizuia Hilo.
#KatibaMpya#WenyeNchiWanaNchi
‼️MUHIMU‼️👇🏾
Hii ndo tarehe sahihi! Yaanu ni tarehe 3 siyo tarehe 6 Julai!
Someni vizuri mtanielewa
Mwambie na mwenzako tusije tukashindwa kumpa Lissu raha mahakamani!
#FreeTunduLissu
Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, iliyokuwa isikilizwe kesho Juni 11, 2026, katika Mahakama ya Rufani imeahirishwa hadi Julai 6, 2026. Licha ya mabadiliko haya, neno linatukumbusha: 'Usiogope, kwa maana mimi niko pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia.' (Isaya 41:10). Haki itashinda!" #FreeTundulissu
Sie wa Mh Lissu/CHADEMA:
tunamuona kama shujaa anayepigania demokrasia na mageuzi. Wengine wanasema hana mpinzani katika siasa za Tanzania kwa sasa.
Freee Lisu
@tanpol mnaweza eleza kwa nini mmezagaa eneo lote la Ukonga na hasa Gereza la Ukonga na kambi zake za askari?
Hayo maeneo mmejaa ni kambi ya FFU, Kambi za Magereza , hivyo ni vyombo vinaweza jilinda, sasa mnaweza eleza ni kazi gani mnafanya kwa idadi kubwa hiyo kwenye eneo la gereza la Ukonga usiku hivi?
Juzi kulikuwa na Taarifa mlitaka ingia hapo magereza na SUMU zenu, leo mmeenda kujirundika hapo magereza kuna biashara gani mnaendelea nayo?
Kikosi na KUTULIZA GHASI GEREZANI (KM) ambacho kinafanya Ulinzi wa Magereza yote katika Mkoa wa DAR kina askari wenye mafunzo, uzoefu na wabobezi kuliko polisi by far kwenye kupambana na wafungwa au mazingira yenye fujo, nyie polisi mnafanya nini kwenye kambi zao leo usiku?
Kwa nini polisi mmeweka lockdown askari magereza na kikosi cha KM? mpaka mmekwenda nyie kufanya ulinzi kwenye maeneo ambayo mna uwezo mdogo sana wa kuyalinda?
toka lini polisi wa kawaida akalinda maeneo ya FFU na KM ?
MNACHOTAKA kufanya kina nia njema ? USIKU huu bila kuambia wananchi wa maeneo hayo?
This is my friend, Joseph Mwasote, also known as China.
China was abducted by police and security officers a few days before October 29, 2025.
After he was taken, he was stripped of his clothes and brutally tortured. We had no idea where he was. We searched for him everywhere. His son went from one police station to another looking for him, but found no answers.
China eventually resurfaced after last year’s election, physically and emotionally devastated by the torture he had endured. When he finally returned home, he learned the unthinkable: while he was being held in an undisclosed location, his son had been killed by the police.
There are many stories like this.
samia suluhu hassan and those responsible for these abuses have inflicted immense suffering on innocent people.
Tanzanians, we must not allow these atrocities to be forgotten or ignored. samia and those responsible must be held accountable. And they will be.
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
There is a tragic irony in a nation desperately trying to look good to the world while failing, repeatedly and spectacularly, to be good to its own people. #FreeTunduLissu
‼️🚨HUYU NDO AWADHI JUMA HAJI AMBAE ALITOA ORDER YA ‘SHOOT TO KILL’ OKTOBA 29.‼️
Kwa msiomfahamu Awadhi Juma Haji yeye ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Tanzania, yani Operesheni zote ambazo zinafanywa na Jeshi ya Polisi huyu ndo incharge Mkuu bila yeye kuidhinisha hakuna Operation inafanyika, huyu ndo Idd Amin Mama anamuandaa kuwa IGP baada ya Wambura.
Kama mtakumbuka kabla ya Oktoba 29, niliwahi kupost kuhusu uwepo wa Wanajeshi 500 wa Uganda ambao Idd Amin Mama aliwakodi kwa Mseven ili waje kutuuwa Oktoba 29, nikaweka na list ya majina feki ambayo walipewa, vyeo feki pamoja na Mikoa/Miji ambayo walipangiwa kwenda kuuwa Watanganyika siku ya Oktoba 29, 2025.
Sasa huyu Awadhi ndo ambae alikuwa anaratibu safari ya hao Wanajeshi wa Uganda tangu Wanatoka Uganda, wanapita border ya Mutukula huko Kagera mpaka wanafika Dar es salaam, yeye ndo aliwapangia hao Wanajeshi wa Uganda maeneo ya kwenda na walienda huko kabla ya Oktoba 29 so Watanganyika ambao mlikutana na Wauaji ambao walikuwa hawajui kiswahili ndo hao Waganda na aliyewapangia waje huko kwenu ni huyu Awadhi Juma.
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi Oktoba 29, baada ya Maandamano kushika kasi kila kona ya Nchi, Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama ilizima mtandao, ikakata umeme sehemu kubwa ya Tanzania then IGP Wambura akatangaza hali ya hatari na kusema kwamba kufikia saa 12 jioni watu wote wawe majumbani kwao kwasababu kuanzia muda huo Jeshi la Polisi na Vyombo vya Ulinzi na Usalama watakuwa barabarani kwa ‘KAZI MAALUM’
Kabla IGP Wambura hajatoa Tangazo lake tayari yeye na Awadhi Juma, Idd Amin Mama alikuwa keshawapa maelekezo ya kuuwa watu na Awadhi alikuwa ameshaweka standby vikosi vyote ambavyo walikuwa wameviandaa kwa ajili ya kuuwa Watu Oktoba 29.
Baada ya IGP Wambura kutoa hilo Tangazo lake haram, Awadhi Juma ndo akatoa order ya SHOOT TO KILL ambapo aliambia vikosi vyao vyote kwamba, kuanzia saa 12 jioni mtu yeyote ambae watamkuta barabani wapigeni risasi, ndipo vikosi vyao viliingia barabarani na kuanza kuuwa kwa risasi kila mtu ambae walimkuta barabarani bila kujali ni nan au anafanya nini, walipomaliza kuuwa watu barabarani wakaingia mpaka kwenye majumba ya watu na kuanza kuwafyatulia risasi.
Kuna Askari wanasema kwamba siku ya Oktoba 29, baada ya kufanya Operation ya kuuwa Watanganyika wenzetu, kuna baadhi ya Polisi waliogopa kuuwa so muda ulivofika wakurudi kwenye “MAKUTANO YAO” kwa ajili ya kujipanga na mashambulizi ya siku ya pili yani Oktoba 30, Awadhi na wasaidizi wake walikuwa wanakagua silaha, Askari ambao ilionekana wametumia risasi chache walipewa adhabu na ambao hawakutumia risasi hata moja wao waliwekwa lockup, walikuja kuachiwa baada ya Nduli Idd Amin Mama kujiapisha
Awadhi na vikosi alivokuwa anaviongoza, walifanya operation ya kuuwa Watanganyika kwa siku tano mfululizo, waliuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi, waliuwa asubuhi, waliuwa mchana, waliuwa usiku bila huruma, walifanya yote hayo kumlinda Nduli Idd Amin Mama ili aendelee kubaki madarakan bila kupigiwa kura na Wananchi.
Ile siku ya Oktoba 29, baada ya vikosi vyao kuuwa Watanganyika wenzetu, walipoona miili ya ndugu zetu imefurika kwenye Hospital zote, waliagiza wahudumu wa afya waliokuwepo zamu siku hiyo wasitoke kazini mpaka siku watakapomaliza operesheni yao na baada ya tangazo hilo kuna wahudumu wa afya walipokonywa simu zao lengo lilikuwa ni kudhibiti taarifa kuhusu majeruhi na idadi ya waliouwawa.
Baada ya miili kufurika kwenye Hospitals mpaka mingine wakakosa pakuiweka, usiku magari ya JWTZ yalikuwa yanapita kwenye Hospital za Serikali na kusomba miili ya ndugu zetu, waliiba maelfu ya miili ya Watanganyika na miili mingi ambayo walikuwa wanaiiba ni ile ambayo waliipiga risasi kichwani na tumboni kisha wakaenda kuizika kwenye Makaburi ya Halaiki kama mizoga.
Machi 2026, Awadhi Juma alifanya ziara ya kutembelea Mikoa yote ya Tanganyika na kuwapongeza maRPC kwa kazi waliyofanya Oktoba 29, yani aliwapongeza kwa kuuwa kwa risasi Watanganyika zaid ya elfu 10.
Kazi ya viongozi ni kurahisisha maisha ya wananchi, sio kuwa kikwazo cha maendeleo.
@Nnauye_Nape bila sababu ya msingi ulitukosesha fursa ya mtandao wenye kasi na nafuu wa Starlink kwa visingizio vingi vya urasimu, huku wananchi tukiendelea kuumia na bando ghali na mtandao unaosua sua.
Ila nyie bana mna mambo ya kiwaki !
Kumbe mlipanga kumfutia Lissu uhaini alafu nje kumkamata kwa kosa lingine na kumweka house arrest! 😁
Kila uovu mnaopanga Mungu 🙏🏽anatufunulia!
Nasema #TutaelewanaTu
MAHAKAMA ni moja kati ya KICHAKA cha Ma CCM kutekelza maovu yao yaani wanakitumia kama wanavyowatumia GREEN GURD na UVCCM
ROSTAM alisema ..
Huezi kua na CHOMBO kikubwa Ki KATIBA kama MAHAKAMA halafu ukawa unapigiwa simu na ABDUL funga huyu achia huyu
https://t.co/aLtYEu0uLY
Mzee anapeleka moto, Wanasiasa wa Afrika walikuwa wanaiba mapesa yetu wanakwenda kujifungua Marekani watoto wao wanakuwa raia huko
Huku Afrika tunaumia wao wanapeleka mali zetu huko, Ilikuwa ni moja ya njia kutorosha mali zenu kwenda USA
Na CCM mkipigwa Ban watoto wenu wote warudi mkae nao na huyu mama yenu
Watanzania, kuna takataka inatembea juu ya Mswaada wa kumshughurikia samia suluhu hassan na genge lake. Takataka hiyo inasema kuna vipengele vimeondolewa. Puuzeni. Mswaada unaanza kupigiwa kura wiki ijayo.
Nimesikia Kombo na Yuda wanakuja DC, watatukuta rada.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
Wakati Magufuli anafariki aliacha bajeti ya safari (za nje na za ndani) ni Bilioni 282 tu. Mwaka uliofuata ikapanda hadi Bilioni 360. Mwaka uliopita ikafika Bilioni 844. Mwaka huu serikali imetenga Trilioni 1 (yani Bilioni elfu moja) kwa ajili ya safari za nje na za ndani.
Itoshe tu kusema kwamba Nduli Idd Amin Mama anachezea kodi zetu mpaka sio poa.
Hii ni killing machine ya hatari sana
Samia anamficha ficha huyu jamaa ila ni Mafwele 0.2 wa hatari kuliko Mafwele mwenyewe
Huyu jamaa akitoboa kuwa IGP tutazika sana ndugu zetu