Ushauri, kama mnandugu Mlemavu Nyumbani Hajiwezi kuliko kumchukua na kumpeleka Barabarani kuomba huku anapigwa jua kali halafu baadae mnagawana hela zake bora akae nyumbani nyie wenye Nguvu nendeni mtafute mkipata mtakula wote ,Asante .
Walikuja usiku wa manane kimyakimya, wakiwa wameficha nyuso zao nyuma ya mask. Wanaosema ukweli na kuhoji mamlaka yao walinyamazishwa milele. Kutoweka kwao kukawa kama onyo kwa waliobaki. wakati mwingine ukimya unapaza sauti kuliko maneno.
*Petals of Blood
Ngungi wa Thiong'o.🕊️
Mimi nawaonya tena kuna vijana wapuuzi humu wanatukana siku wakiingia kwenye 18 zangu watakula ngumi za kutosha na madoso ya kiutu uzima ili iwe funzo kwa wengine.
Endeleeni tu.
This is the moment his family’s story starts to change. The moment he begins to see what the money in football is. The most important and delicate period of his young career, and the moment he will become.
Football has no enduring pattern. When the ball bounces to you, apply a great, deft touch and make it stick.
Brighton offer progression. They'll play him if he proves good enough to play. And from thereon, anything can happen.
Brighton & Hove Albion have agreed the signing of winger Zadok Yohanna from AIK Stockholm on a five-year contract until June 2031 for undisclosed terms. ✍️