@SharonMontana20 Na mimi naomba uwe mshikaji wangu pia very great answer; watu wamezaliwa tisini kushuka chini ila wana akiri ya watoto wa 2005 hao ndio hatari kuliko watoto wa iyo 2000
@jawsootz2007@VungaEl74 Wewe huoni hawazamii nchi za kiharabu au hata sisi mbona tunafuraia kwenda nchi za wakristo na unazani shida nini mpaka unakimbia nchi yako yenye uislam mzuri