Mtayarishaji wa Spider-Man, Amy Pascal, ameelezea sababu ya kubadilika kutoka simulizi la ulimwengu tofauti tofauti (Multiverse) la Spider-Man: No Way Home kwenda hadithi ya kiwango cha mitaani katika Spider-Man: Brand New Day:
"Nadhani kwa kawaida watengenezaji wa filamu huwa na mwelekeo wa kutaka kufanya kila kitu kiwe kikubwa zaidi. Lakini sisi tulifanya kinyume chake. Hii ni filamu yenye kuangazia zaidi hisia na maisha ya ndani ya mhusika. Ukubwa wake haupo kwenye ulimwengu kulipuka au matukio makubwa ya kimataifa, bali upo kwenye uzito wa hisia na safari ya kihisia ya wahusika."
#alfaTIMEZ
Kama umeshaangalia series ya spider-noir inawezekana umekosea au uliofichwa taarifa fulani katika Spider-Noir.
Katika series yote, tunaambiwa kwamba Spider-Man wa ulimwengu huu anaitwa Ben Reilly.
Lakini kulingana na hadithi ya kipindi hicho, baada ya kurudi kutoka Vita vya Kwanza vya Dunia, aliacha maisha yake ya zamani na kuchukua utambulisho mpya kabisa,Hii inamaanisha kuwa "Ben Reilly" si jina lake halisi.
Series aifichui kamwe aliyekuwa kabla ya vita, lakini kama utani inaonyesha, kuna uwezekano mkubwa kuwa jina lake la asili lilikuwa Peter Parker.
Ebu jaribu kuvuta pita kwa mda kidogo Kisha iwe,mwanaume ambaye tumekuwa tukimfuata kwa vipindi nane anaweza kuwa alifuta utambulisho wake mwenyewe kwa kiasi kikubwa sana hivi kwamba Ben Reilly ni kinyago tu kilichowekwa juu ya kinyago kingine.
✍️Na kama hiyo ni kweli, basi mtu pekee anayejua Spider-Noir ni nani kweli...
#alfaTIMEZ
Asiyekubali kushindwa si mshindani.
Hongera kwa vijana wa PSG kwa kuchukua ubingwa wa ligi ya mabingwa Ulaya (UEFA).
Hii aikuwashangaza wengi kwasababu kiwango chao kulikuwa kinakupa matumani ya kusema kuwa PSG atachukua tena kwa mara ya pili mfululizo.
Hongera kwa Arsenal pili game ilikuwa poa sana ila bahati alikuwa upande wao kwa siku ya leo naamini watarudi wakiwa Bora kabisa wakati mwingine.
Naamini wamepata funzo ni kivipi wanaitaji kuongeza nguvu ila kwa msimu hii Epl inatosha na wanatakiwa wajipongeze zaidi.
Pole kwa kylian mbappe kwa kushuhudia timu yake ya zamani ikitwaa kombe ambalo Amekuwa akilimani miaka yote pasi na kuwa na mafanikio ya kupata.
Huku timu yake ya zamani ikitwaa mara mbili mfululizo pasi na uwepo wake inaumiza sana ni kama alikuwa anawachelewesha vile.
All in all that is Football unapoona upande mmoja unafurahia basi jua Kuna upande unapitia maumivu, na kwa siku ya leo huo ni upande wa arsenal the Gunners.
PSG 2-1 Arsenal
📌Sisi Liverpool kombe letu ni kumfukuza Arne Slot hii furaha ni zaidi ya ubingwa Angetuua.
#alfaTIMEZ
@FabrizioRomano Damn, they always say you shouldn't laugh at another man's downfall, but this time let me be happy and at peace.
Slot, you've had me overthinking for a long time. Honestly, you started off really well, but then you grew horns. Go well,Thanks for everything.
Mwishoni kwa mwezi huu wa tano
Hapa Namaanisha May 27.
Tumepata kuiona series ya spider-noir
Ambayo hii imechezwa na Nicolas akiwa ni star wa movie series iyo ambayo imetoka full ikiwa na episode 8 za moto saana.
Licha ya performance kali sana kutoka kwake Nicolas cage Bado akusita kumpatia maua yake muigizaji Andrew Garfield kuwa ndiye spiderman Bora kwake yeye.
#alfaTIMEZ
Kabla aujalala
Jaribu kuikumbuka siku yako
Kuanzia asubuhi
Mpaka usiku wapanda kitandani
Kisha mshukuru, aliyekupa uwezo wakurudi tena hapo kitandani
Ukiwa salama kama Jana.
Nicolas Cage on who would win in a fight between Spider-Noir and Ghost Rider:
“Ghost Rider. He’s got the Penance Stare... Spider-Noir has a lot of guilt.”
(Via: hypebeast | IG)
#alfaTMZ#alfaTIMEZ