Surely the mobile network operators and ISPs in Tanzania can find a way to compensate their customers who bought weekly/monthly data bundles that they could not use.
Moja ya msimamo wangu toka nikiwa shule ni kwamba siwezi kusoma nje ya Tanzania kwa ufadhili wa mashirika ya kimataifa au mataifa ya kigeni(scholarship). I bragged that βSiwezi kusomeshwa na kodi za wengineβ. Wakunisomesha nje ni Wazazi au serikali yangu. Washikaji zangu kadhaa wamepata sana scholarship wakirudi wanasifia ulaya kama mafalaπ nawaambia mmekuwa puppet. Kuna zile programu za balozi kadhaa nchini vijana wanakimbilia nachekaga tu mimi siwezi. Hata wadogo zangu niliwaambia hakuna kuomba scholarship bora ukasome za Zion college.
Ndiyo maana nilivyoona ile programu ya serikali ya MAMA SAMIA SCHOLARSHIP nilifurahi sana ile ni programu nzuri kwa nchi sio unasomeshewa watu wako ni aibu. Ndiyo maana marekani anatamba kwamba sipo kila mahali duniani ila tuna watu kila mahali duniani.
Bishop Marvin Winans goes viral after criticizing a woman and her son in front of the entire church for donating $1,200 instead of $2,000 during a fundraiser π