@okinawari@Cowwbama@mkuuJr5 Onesmo bana! Mbona hii ni kitu simple sana.Yanga ana wadhamini wengi.hapa inaweza kutengenezwa figisu,mmoja wa wadhamini akatangaza kujitoa kudhamini kwa hizo tuhuma.hlf watu wakapitia hapo.then mkiwasafisha,kesho watu wanarudi.mbona simple tu sheikh
@DuniaSlaveDunia@Roma_Mkatoliki@Wakazi Ney wa mitego mtoa hapo.allikuwa mwenzetu zamani.ila alishachukua hela ya maccm akaenda kukaa zake pembeni kimya.
@Thereal_taivina Imeisha hiyo bloody..na akirudi,ishi nae kimaster. Na umuwashie taa za full. Ni bora ya Yuda aliposnitch,akajiamulia kujitia kitanzi.hakuomba msamaha.
@Thereal_taivina Mim huyu fala alinifanya nichome moto hadi kitabu chake kwakweli.naijutia sana ile pesa niliyolipia kitabu.bora ningemwekea yote Man u.hata kama mkeka ungechanika,isingeniuma.
@amdully Asilimia kubwa walikuwa wanajaza sahihi taharifa zile zinazotokea kwenye kadi.lkn vitu vingine,wanajaza hayo madudu.sasa ww ukija kujaza wakat unaulizwa.ndio unakutana na hicho kisanga.jibu ni sinza.mwenzio alijaza bbbb.unadhan utatoboa
@amdully Kuna time bro hawa wanaojaza taharifa kwenye mifumo wakat wa kujisajir.huwa wanajaza vitu vya ajabu kinoma kwenye taharifa za watu.ukitoa taharifa za majina yako kamili.kuna wengine huwa wanajaza hata 'aaaaaa' kwenye kata uliyozaliwa na kwengineko.ili ameet target ya malipo.
@Thereal_taivina 😆😆😆😆😆 @Sativa255 analeta ugai gai..hapo tunaita both teams to score.kaa macho mwaisa na muashie taa za full.sema hii code anaweza kuifungua @fbuyobe
@Thereal_taivina Dah! Sio poa.huu ujumbe hata km Onana hajahama golini.ila hii msg ikija kukutwa na mkeo.basi lazima kikao cha ukoo kiitwe ASAP.jamaa anaonyesha yupo romantic kupita maelezo kwa mchizi..hii ni msg ya manzi kwenye kwa mchiz,na sio vinginevyo.
@lutherakyoo Kuna time hadi unajiuliza,wamerukwa na akili au vipi? Na kitu kinachonishangaza,mwamba kwann amekaa kimya.haongei chochote.wala kukemea haya yanayoendelea? Ila unajua nin kaka @lutherakyoo aliyegundua #pesa,alaaniwe.