@mee_nicodemus@MondoshaShabani Sema homie muoga sana if hili kundi hutoboi pia utatoboa lini?
Team ni hii bt Vitu vya kuchagiza tu hapo walau baada ya game 2 dirisha dogo litakua tayari
The 2026/27 #TotalEnergiesCAFCL Group C:
1οΈβ£| RS Berkane π²π¦
2οΈβ£| Simba SC πΉπΏ
3οΈβ£| Orlando Pirates FC πΏπ¦
4οΈβ£| Colombe Sportive DL π¨π²
Berkane ndiyo mlisema boss wao ni kitengo pale CAF?
Na Orlando Pirates ni wawakilishi pekee pale SA
Simba wanaenda kupata kipimo cha ukubwa haswa.
The 2026/27 #TotalEnergiesCAFCC Group A:
1οΈβ£| Al Ahly FC πͺπ¬
2οΈβ£| Raja CA π²π¦
3οΈβ£| ASKO De Kara πΉπ¬
4οΈβ£| CD 1 Agosto π¦π΄
Wakuu upokeaji wa simu hasa kwa namba mpya kama huzijui pokea kwa heshima ni muhimu sana, niliwahi kosa dili hivihivi.
Kuna kazi niliwahi apply mwaka 2019 nilitumiwa tangazo na mwana mjini green app akanambia jaribu.
‡οΈ
Kwa men unaingia kwenye mahusiano ya NDOA hakikisha mkeo hakuzidi KIPATO,
Na if ukiruhusu akuzidi KIPATO basi ingia kwenye NDOA na mguu mmoja huu mguu mwingine uache nje utakusaidia kutoka haraka kwenye NDOA mambo yakikuzidia.
Hili swali nalipenda sana, Unaweza kujiunga na AzamPesa kwa kutumia laini yako ya Halotel, Vodacom, Airtel au Yas (Tigo). Unahitaji namba ya simu na namba yako ya NIDA.
AzamPesa app ipo playstore na appstore unaweza kuidownload chaap hata dakika haiishi.
Ukajiunga mwenyewe au ukaenda kwa wakala wa AzamPesa aliye karibu naweππ