Naomba nieleze kwanini hizi detention na deportations za π°πͺ jurists ni madness.
Kama kesi ya UHAINI dhidi Tundu si POLITICAL (Siasa) na mbona Tanpol na Uhamiaji wana-detain na ku-deport?
Mshaonesha mkono wenu! This is PURELY POLITICAL. Mahakama haimrishi Tanpol na Uhamiaji.

VIDEO:
"Mtu akisema 'No Reform, No Election', wewe badilisha kidogo tu, mwambie "No Election, No Reform". Maana yake nini? Hakuna uchaguzi β hakuna mabadiliko. Uchaguzi ndiyo unaoleta mabadiliko. Mabadiliko hayawezi kuja bila uchaguzi. Haiwezekani. Ni sawa na kumfunga punda kwenye mkokoteni, halafu unataka mkokoteni utangulie β haiwezekani. Lazima uchaguzi utangulie, ndipo mabadiliko yafuate."- Lusinde.
Kauli hiyo imetolewa Mei 15, 2025 Bungeni jijini Dodoma na Mbunge wa jimbo la Mvumi Livingstone Lusinde wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi Bajeti Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026.