TANGAZO KWA FORM SIX WOTE NA WALE WALOMALIZA CHUO:
Kama unandugu yako kamaliza forms six au chuo nayuko home anajua kuongea kiswahili na kingereza na yupo tayari kufanya kazi kwa mshara wa laki 8
MSALIMIE SANA MWAMBIE TUPO PAMOJA😂 @abdulazackabdul @ISSAC_ALLAND @nonstopfrale
Sticking my neck out a bit here & definitely not trying to be an ITK, so please don't shoot me if I'm wrong.
Just had a call from a friend who is a photographer for Madrid;
Vini Jr has declined his contract renewal & has asked Madrid to accept Arsenal's offer.
I've been told it's ~£110m all in (add-ons etc), with a wage of £350k for Vini, offset by his 100% image rights in the UK.
Again, it's only what I've been told by a buddy. I don't want to get anyone's hopes up too high in case it's not 100% correct.
Just wanted to pass on what I was told.
#AFC
Quick Morning Thoughts;
Kuna mambo machache ya msingi yanayojitokeza hapa.
1. Marekani ina nguvu kubwa sana ya kijeshi, kiasi kwamba karibu dunia nzima inaogopa kuikabili. Lakini cha ajabu kidogo ni hiki: katika historia ya vita zake kubwa, karibu kila mara huingia vitani akiwa na msafara wa washirika nyuma yake. Mara nyingi vita hizo hujengwa kama “muungano wa kimataifa,” na wakati mwingine hata washirika hulazimika kushawishiwa au kusukumwa kuingia ili vita visibaki kuwa vya Marekani peke yake. Hivyo, taifa lenye jeshi lenye nguvu kuliko yote duniani mara nyingi hupigana vita zake likiwa limezungukwa na marafiki wengi sana wa kijeshi.
2. Mapambano ya moja kwa moja kati ya nchi mbili kubwa huwa magumu sana. Ripoti na picha za satelaiti zilizochapishwa na The New York Times (https://t.co/yQySm1peDN) zinaonyesha kuwa sehemu kubwa ya miundombinu ya mawasiliano ya kijeshi ya Marekani katika Mashariki ya Kati imeathiriwa na mashambulizi ya Iran. Kama hali hii ni sahihi, ina maana kwa muda fulani Marekani inaweza kuwa inapigana katika mazingira yenye upungufu wa taarifa sahihi. Bila mtandao thabiti wa rada, satelaiti na mawasiliano, uwezo wa kukusanya intelligence, kutabiri mashambulizi na kujiandaa kujilinda unapungua sana.
3. Pia kuna dalili kwamba Iran ina uelewa mpana sana wa uwepo na miundombinu ya kijeshi ya Marekani katika eneo hilo. Mashambulizi mengi yanaonekana kulenga maeneo maalum kwa usahihi mkubwa sana. Kiwango hiki cha precision kinaibua maswali kuhusu chanzo cha taarifa walizonazo, kwa sababu mwaka mmoja au miwili iliyopita uwezo wao wa kushambulia kwa usahihi huo haukuonekana wazi kama sasa.
Si rahisi kwa Iran kushinda vita ya aina hii kwa maana ya kuishinda kabisa Marekani au washirika wake. Lakini pengine tatizo ni jinsi tunavyofafanua neno ushindi. Inawezekana ushindi wa Iran usiwe kuishinda Marekani moja kwa moja, bali kuzuia uwezo wake wa kushinda haraka na kwa urahisi, na kuifanya vita iwe ghali sana kisiasa, kijeshi na kiuchumi kwa miaka mingi ijayo.
Kama Iran ingekuwa na washirika wachache wenye nguvu za kijeshi wanaosimama wazi upande wake, mlinganyo wa nguvu katika vita hii ungekuwa tofauti sana, na huenda Marekani na Israel wangelazimika kufikiria mara mbili kabla ya kuendelea na mwelekeo wa sasa. Au wangekimbia kabisa.
*KUMBUKA KUNDI LA UMRI WAKO LEO, USISAHAU KUSUDI LA MAISHA YAKO*
*Umri wa Ziada (Overtime age)*
1926 – Miaka 100
1927 – Miaka 99
1928 – Miaka 98
1929 – Miaka 97
1930 – Miaka 96
1931 – Miaka 95
1932 – Miaka 94
*Umri wa Machweo (Sunset age)*
1933 – Miaka 93
1934 – Miaka 92
1935 – Miaka 91
1936 – Miaka 90
1937 – Miaka 89
1938 – Miaka 88
1939 – Miaka 87
1940 – Miaka 86
1941 – Miaka 85
1942 – Miaka 84
1943 – Miaka 83
1944 – Miaka 82
1945 – Miaka 81
1946 – Miaka 80
1947 – Miaka 79
1948 – Miaka 78
1949 – Miaka 77
1950 – Miaka 76
1951 – Miaka 75
*Uzee (Old age)*
1952 – Miaka 74
1953 – Miaka 73
1954 – Miaka 72
1955 – Miaka 71
1956 – Miaka 70
1957 – Miaka 69
1958 – Miaka 68
1959 – Miaka 67
1960 – Miaka 66
1961 – Miaka 65
1962 – Miaka 64
1963 – Miaka 63
*Umri wa Marekebisho na Maridhiano*
1964 – Miaka 62
1965 – Miaka 61
1966 – Miaka 60
1967 – Miaka 59
1968 – Miaka 58
1969 – Miaka 57
1970 – Miaka 56
1971 – Miaka 55
1972 – Miaka 54
1973 – Miaka 53
*Umri wa Mafanikio na Utimilifu*
1974 – Miaka 52
1975 – Miaka 51
1976 – Miaka 50
1977 – Miaka 49
1978 – Miaka 48
1979 – Miaka 47
1980 – Miaka 46
1981 – Miaka 45
1982 – Miaka 44
1983 – Miaka 43
*Umri wa Kufanya Maamuzi*
1984 – Miaka 42
1985 – Miaka 41
1986 – Miaka 40
1987 – Miaka 39
1988 – Miaka 38
1989 – Miaka 37
1990 – Miaka 36
1991 – Miaka 35
1992 – Miaka 34
1993 – Miaka 33
*Umri wa Kujitoa na Dhamira*
1994 – Miaka 32
1995 – Miaka 31
1996 – Miaka 30
1997 – Miaka 29
1998 – Miaka 28
1999 – Miaka 27
2000 – Miaka 26
2001 – Miaka 25
2002 – Miaka 24
2003 – Miaka 23
*Umri wa Ujana na Masomo*
2004 – Miaka 22
2005 – Miaka 21
2006 – Miaka 20
2007 – Miaka 19
2008 – Miaka 18
2009 – Miaka 17
2010 – Miaka 16
2011 – Miaka 15
2012 – Miaka 14
2013 – Miaka 13
*Umri wa Uangalizi wa Watoto Wachanga na Wadogo*
2014 – Miaka 12
2015 – Miaka 11
2016 – Miaka 10
2017 – Miaka 9
2018 – Miaka 8
2019 – Miaka 7
2020 – Miaka 6
2021 – Miaka 5
2022 – Miaka 4
2023 – Miaka 3
2024 – Miaka 2
2025 – Mwaka 1
Epuka kujidanganya kwamba bado wewe ni kijana.
Kumbuka kila wakati kuwa muda haumsubirii mtu yeyote.
Fikiria mara mbili kuhusu umri wako. Kadri siku zinavyopita, tunakaribia mahali petu pa mwisho.
Jiulize maswali haya:
Nimefanya nini hasa kwa familia yangu, ndugu, marafiki, na Mungu tangu nilipoja duniani?
Je, bado kuna jambo ninaweza kufanya?
Basi fanya kitu sasa, kwa sababu muda unapita kwa kasi, na huenda ikawa kuchelewa.
Kila siku unapozeeka, jifanye kuwa hazina, kwa maana dunia hii ni ya kupita.
Mshukuru Bwana na endelea kusonga mbele kwa azma, bidii, maombi na uaminifu, nawe utapata uzima wa milele, yaani MBINGUNI.
*JIHADHARI NA “SIKU MOJA”*
SIKU MOJA, utastaafu kutoka utumishi wa umma na kuanza maisha ya faragha.
SIKU MOJA, mtu mwingine atakaa kwenye kiti chako na kuchukua nafasi yako.
SIKU MOJA, utafunga mlango wako, lakini hutakuwa wewe wa kuufungua.
SIKU MOJA, utaosha nguo zako nzuri, lakini hutaweza kuzivaa tena.
SIKU MOJA, chakula unachokipenda kitaandaliwa, lakini hutakuwepo kukila.
SIKU MOJA, utakula na kunywa kitu ambacho hutaweza kukitoa tena.
SIKU MOJA, wasifu wako (CV) na uzoefu wako wote hautakuwa na maana kwa mtu yeyote.
SIKU MOJA, mtu aliyekupenda zaidi hatajaribu kukukaribia.
SIKU MOJA, utawaza mambo ambayo hutaweza kuyatimiza.
SIKU MOJA, utaitwa “maiti”.
SIKU MOJA, utatengwa mahali paitwapo “kaburi”.
SIKU MOJA, vitu na watu uliowapenda sana watapita karibu nawe, lakini hutaweza kuwajali.
SIKU MOJA, utashikilia pumzi yako na hutaweza kuiachia tena.
SIKU MOJA, utasimama kama mshtakiwa mbele ya Hakimu Mkuu (MUNGU).
SIKU MOJA, nzi au mchwa watakujia, na hutaweza kuwafukuza.
SIKU MOJA, utapokea wito usioweza kuukataa.
SIKU MOJA, jina lako litaitwa, lakini hakuna atakayejibu.
SIKU MOJA, mali ulizozipenda sana zitachukuliwa na mtu mwingine.
SIKU MOJA, matendo yako duniani yatawasilishwa kwako kana kwamba ni CD.
SIKU MOJA, neno “Marehemu” litaongezwa kwenye jina lako.
SIKU MOJA, Mgawaji Mkuu atakupangia mahali panapokufaa.
SIKU MOJA, ngozi yako nzuri itarudi kwenye asili yake—mchanga/udongo.
Kuna mwanangu aliomba ushauri wa simu nzuri ya kutumia. Nikam suggest aruke na Oppo Find X9 Pro, ila aligoma kabisa akisema Oppo hawana simu nzuri. Kupitia huyu jamaa unaona wazi namna watu walivyoamini Apple na Samsung ndio kila kitu 😄
Kenya has alot of problems,but I look at other neighboring countries and I unwillingly find myself saying heri kenya. Countries like Uganda are in their own shit level,then theres Zambia. They have a very stable currency kwacha,lakini kule wanategemea kariba dam for the whole country’s electricity supply,and because of drought the dams capacity has reduced. Now in zambia they only have 3 hours of electricity per day,If that happened in kenya I think we would all die. Then theres another country called Burundi,huku nakwo ni shida tupu. Its so green,yet so poor. Now even the president is doing contruction jobs to try and keep the country afloat. I think when we Chase away ruto,Maraga the 6th should provide a strategy on how we are going to colonize burundi and make it a kenyan county.