Mkiwateka na kuwauwa wakosoaji wa ndani; nje Mungu atainua mawe kutusemea.
Jaji IBRAHIM Juma wa tume ya CHANDE alituambia video ni za Gaza.
Hawa wabobevu wa utaalam na wenye satellite za kuwezesha kuona vilivyofichoka watatuanika.
Niliwaambia narudia tena mnatakiwa KUCHUTAMA.
NO LONGER AT EASE!
The grieving mothers in #Tanzania want punishment for Samia Suluhu befitting the crime!
They reject any talk of compensation! They want justice!
This heart wrenching appeal by a grieving mother speaks for hundreds if not thousands of affected loved ones!
The absense of justice is laying the groundwork for generational blood feud!
Huyu mama nimemwelewa sana fidia ya kuuwawa kwa ndugu yako unaomba labda shs ngapi? Aisee hapana!
CCM mnaendelea kumbakisha huyu mwuaji madarakani mnapalilia visasi vya vizazi na vizazi msifikiri mko salama!
#SamiaMustGo