‼️MAGARI YA JESHI YANASAFIRISHWA KWENDA WAPI🙄‼️
Jana nimepewa habari na watu kuhusu kuonekana kwa mahgari ya kijeshi yakibebwa
MSITUUZIE WOGA ❌ Na nyie JW labda kama ni utaratibu wa kawaida ila msitoe vifaru kutisha wananchi mnaotakiwa kuwalinda! Haya!
Jumbe mbili zenye data na video hizi hapa:
👉🏽 “Kuna Magari yamesombwa Jana Usiku ilikuwa mida ya saa tano usiku Nilikuwa nzega niliyaona Yamebebwa Kwenye sem (Long Vehicle) yakiwa yamefunikwa Turubai. Semi zilikuwa kama 8-10
Kwa kila Semi kulikuwa na Gari la Jeshi 04
Yakiwa na Escort na Gari la Jeshi hayo magari nadhan Watakuwa Wanahitaj Kuyasambaza juu yako kwa Mfumo wa Vifaru sasa Wenda Wanahitaj Kuja kutishia watu kanda ya ziwa juu ya Maandamano ya 7/7”
👉🏽 “Jana, msafara wa magari ya Jeshi uliosafirisha vifaru ulionekana ukitokea njia ya Dodoma–Iringa. Vifaru hivyo vilikuwa vinasafirishwa kwa magari ya kiraia, yakisindikizwa na magari ya Jeshi na wanajeshi. Inadaiwa magari ya upande wa Iringa yalisimamishwa eneo la Mlima Nyang’oro kupisha msafara huo.”
Tupo rada na hatutishiki!
7/7 loading na #TutaelewanaTu
#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_WA_MALI_ZA_CHADEMA
Said Issa Mohamed na mwenzake VS Bodi ya Wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHadema Civil Case No. 13832/2026.
Kesi iko mbele ya Mh. Jaji Awamu Mbagwa.
Mahakama inaanza.
Baada ya ile kesi ya mwanzo kufutwa na Mahakama akina Said Issa Wamefungua kesi nyingine kuhusu mgawanyo wa Mali za Chadema.
Anasimama Dr. Rugemeleza Nshala anasema kwa upande wa CHADEMA niko mimi pamoja na:
Hekima Mwasipu
Deogratias Mahinyila
Gaston Garubindi
Paul Kisabo.
Tunaiwakilisha Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama.
Anasimama Byabusha anajitambulisha na kusema yupo na Rajab Marijan wanawawakilisha wadai ambao ni akina Said Issa.
Byabusha anasema kesi ilikuja kwa ajili ya kutajwa. Leo ni mara ya kwanza na tulishawapatia hati ya madai wenzetu lakini hawajajibu.
Anasimama Dr. Nshala anasema ni kweli wametupatia lakini bado tuko ndani ya siku 21 za kujibu madai haya. Kwahiyo tutajibu ndani ya muda.
Jaji anauliza karani ije tarehe ngapi?
Jaji anasema sasa tukutane Tar. 08/07/2026 saa nne asubuhi.
Mahakama imeahirishwa inapigwa Courttttt tunatoka.
Machawa chali 😁 Yaani picha hii wakaenda kumwuzia kimama kuwa sasa mambo safi Marekani kumbe mzee wa Msoga anapiga stori za South Sudan! Naona wamarekani wamekata mzizi wa fitna!
#TutaelewanaTu
How it started…. How it’s going…
Baada ya Kikwete na Media za Tanzania ( mchongo media) kutumia vibaya picha aliyopiga na mshauri wa Trump.
Naona imewekwa Tweet lisaa lililopita kuonyesha walichozungumza ni nini? Wamezungumza kuhusu Sudan ya Kusini sababu JK amechomekwa na AU kama mwakilisha wa umoja wa Afrika
Hakuna mazungumzo kuhusu Tanzania wala kumsaidia Samia, maana mlishaanza sambaza uongo kwenye magroup yenu
yaani kibano bado sana
Mambo ni mengi! Police britality in Kilimanjaro!
‼️Rombo siku 3 zilizopita kiliwaka kutokana mwananchi kuuwawa na polisi ‼️
Kijana aliyekuwa amebeba miche ya nyanya akipeleka kuotesha ktk bustani aliuwawa na polisi anyejiita HASSAN - wananchi wanadai alimwua kwa kumgonga kwa makusudi akidhani alibeba mirungi! Wananchi walifunga barabara wakimtaka huyo afisa! Hali ilikuwa tete! Wananchi walieleza huyo ni mtu wa sita kuuwawa na HASSAN anaedai ameaga kwao ZNZ na hawezi kufanywa chochote.
Sasa @tanpol tunaporipoti uhuni wenu msiseme tunaeneza chuki! Mnaeneza wenyewe chuki dhidi yenu! ACHENI DHULMA, KUUA NA KUTEKA
Hatutachoka kuwaonya!
#TutaelewanaTu
Video: mkakamweudi from Tiktok
This is Awadh Juma Haji @IntlCrimCourt
👇🏾
Potential IGP candidate of Samia Suluhu! A man accused by police and citizens of crimes against humanity and being instrumental in enforcing “shoot to kill”orders in October 2025 #TanzaniaMassacre
Hapa lazima tuelewana mwaka huu!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Tuko dakika za majeruhi kushinda hii mechi ya wazalendo vs madhalimu CCM
Kila mzalendo achukue tahadhari ✊🏽
Tuhakikishe tuna-survive tuje kunywa supu ya kuku wa kienyeji na Mjahid @mjahidmjahid80 😁
Najua mmenielewa
Haya sasa TUPAMBANE 🔥
7/7 #TutaelewanaTu#SamiaMustGo #FreeTunduLissu
CCM wanaweka lawama kwa CHADEMA na WANAHARAKATI ila CCM hiyo hiyo inatusaidia sana kufanyakazi nzuri kwa kuumiza wananchi, hakuna mdau anayetoa elimu kwa vitendo kwa wananchi kama CCM wenyewe
Kila mwananchi amesomeshwa namba na CCM, uzuri wao wanasomesha Namba NCHI nzima kila siku mpaka vijijini huko
Wasukuma wamefikishwa hapa na CCM !?
Najua sio kwa wasukuma tu hali ni mbaya kila kona, mama yenu anatumia trillion 3 kusafiri nyie mnakula sawa na mifugo ? Mnagombea chakula na nguruwe ?
Kama tusipoamka hapo mbele kuna shida kubwa sana
Tunachotakiwa ni kufanya maamuzi, 7/7 sio mbali
Hatutakubali kutishwa au kufanyiwa gaslighting!
Maandamano ya amani si uhalifu na hauhitaji kibali bali taarifa!
Taarifa imeshatolewa sasa wadhalim wakae kwa kutulia wananchi watoe maoni yao kwa uhuru kupitia maandamano ya amani!
Na tusikubali kuchokezeka! Wao waseme yote ila niaminini safari hii hawawezi kutoa bastola na silaha hadharani kuua! Wanajua dunia inawatazama na pesa hawana wanasubiri akina Who are You waachie
Sisi tuendelee kubana nje na ndani!
Maandamano ni haki
Tunadai haki za #MO29 #FreeTunduLissu na #KatibaMpya
Haya maandamano si ya kwangu, ya Mange ya @Rachel17D@nuruvazi@HildaNewton21 na hatutakuwepo na watanzania wanajua lakini watatoka kwa maelfu!
Haijawahi kuwa maandmano ya mtu yeyote! Sema CCM wanakataa uhalisia na wanaona watanzania ni wajinga hawana maamuzi eti hadi sisi tuwaelekeze! Matusi! CCM hawawezi hata kumshawishi mtoto mdogo kula 😁 wamechokwa kila kona!
Ni maandamano mengine tena ya wananchi wakiongozwa na vijana al maaruf Gen Z! Tusiogope!
Tusimame Pamoja 💪🏽🔥#SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Nawaambia watanzania WAMECHOKA! Na wamewachoka CCM zaidi tujuavyo!
Kata ya Ngarenaro wananchi wamekasirika na wamemchoka Diwani wao, Dogo Janja ambaye tangu awekwe na uchaguzi feki madarakani kapotea Wananchi hao wanaeleza diwani amekuwa akijificha ofisini na hajafika mitaani kusikiliza changamoto na kero zinazowakabili
7/7 ndo siku ya kueleza kwa pamoja kero zetu ✊🏽🔥 Tusiogope kabisaa! Wamebaki na vitisho ila #SamiaMustGo #CCMmustgo #TutaelewanaTu