Vita moja ambayo utashindwa hata kabla hujaianza ni kujaribu kuwashawishi watu wanaokuchukia wakupende.
By the way why would you want anyone or everyone to like you?
Mtu pekee ambaye ni lazima akupende ni wewe mwenyewe. Yes, YOU! As long as unajipenda, nobody else matters!
Sehemu ya Hotuba ya rais wa Uturuki Erdogan kwenye mkutano mkuu wa baraza la usalama la umoja wa mataifa
* Kwa mara nyingine tena, nawataka nchi zote ambazo bado hazijatambua Taifa la Palestina zifikirie upya msimamo wao.
* Taifa la Palestina limetambuliwa rasmi na idadi kubwa sana ya nchi wanachama hapa. Lakini Mheshimiwa Mahmoud Abbas, Rais wa Taifa la Palestina, ameshindwa kuhudhuria vikao hivi kwa miaka miwili mfululizo sasa.
* Ukosefu huu wa haki dhidi ya ndugu na dada zetu Wapalestina unagusa kwa kina dhamiri ya ubinadamu.
* Ijulikane kwamba ingawa Rais Abbas hawezi kuwa pamoja nasi hapa yeye mwenyewe, sisi, kama tulivyofanya mwaka jana, tutaendelea kuwa sauti ya Taifa la Palestina huru na lenye mamlaka kamili.
* Binafsi, kama baba na babu ninayewapenda watoto na wajukuu wangu, lazima niseme yafuatayo kutoka katika jukwaa hili, nikiwa na huzuni kubwa moyoni.
* Leo, Gaza si tu eneo kubwa zaidi duniani la makaburi ya watoto. Pia ni eneo lenye kiwango cha juu zaidi duniani cha watoto waliokatwa viungo.
* Gaza imekuwa kambi ya mateso yenye ukatili na aibu zaidi katika zama zetu.
Usitishaji vita ulifikiwa kutokana na juhudi za Rais Trump, pamoja na mchango wa nchi mbalimbali, ikiwemo nchi yangu
* Lakini hata baada ya usitishaji vita, idadi ya Wapalestina wa Gaza waliouawa imezidi 1,500.
* Ingawa harakati ya upinzani ya Palestina, kama ilivyokubaliwa, iko tayari kuingia katika hatua ya pili ya mpango wa amani, serikali ya Israel inakataa kusitisha uvamizi na ukaliaji.
* Nitasema kutoka moyoni kwa uaminifu kamili na bila kujizuia, na nitasema moja kwa moja. Ukweli fulani kwa uwazi. Tafadhali msikasirike wala kukerwa.
Samahani, lakini hili si suala binafsi la Tayyip Erdogan. Hili ni suala la kibinadamu. Ni suala la dhamiri kwa kila mmoja wetu.
* Tunakabiliwa na fikra za mauaji ya kimbari ambazo haziwezi kamwe kushiba kuua.
* Tunakabiliwa na hali mbaya sana.
Hakuna mtu mwenye ubinadamu, huruma au moyo wa kuonea wengine huruma, wala mtu anayeongozwa na haki na dhamiri, anayeweza kubaki bila kujali anapoona hali hii.
* Watoto wa Gaza lazima wawe salama.
Watoto wa Palestina watakapotazama angani, wataona ndege za karatasi zikiruka kwa uhuru, si ndege za kivita, ndege zisizo na rubani au droni.
Watoto nchini Lebanon hawataamka katikati ya usiku kwa sauti za mabomu.
* Kupitia muungano wa ulinzi tuliouanzisha hivi karibuni na Pakistan na Saudi Arabia, unaozingatia kanuni ya umiliki wa kikanda, tunaimarisha mshikamano miongoni mwetu na pia tunalenga kupata suluhisho la matatizo ya eneo letu kutoka ndani ya eneo lenyewe.
* Kuhusu vita vya Russia na Ukraine, ni matumaini yetu ya dhati kwamba vita hivyo vitamalizika huku mamlaka ya Ukraine na uadilifu wa mipaka yake ya eneo vikiheshimiwa.
* Tunaamini kwamba uhuru wa usafiri wa meli katika Mlango wa Hormuz lazima udumishwe.
* Ulaya ambayo inaitenga Türkiye katika mfumo wake wa usalama haiwezi na niseme wazi haiwezi kuwa na nguvu zaidi wala kuwa salama zaidi.
Tunaunda mustakabali wetu pamoja na Umoja wa Ulaya kupitia mtazamo huu wa kimkakati, na tunatarajia Umoja wa Ulaya kuwa na mtazamo huo huo.
* Chuki dhidi ya Uislamu, ambayo inaenea kama janga katika nchi za Magharibi, ni miongoni mwa masuala yaliyo mbele yetu.
* Hasa wanawake na wasichana Waislamu wamekabiliwa na ubaguzi mkubwa zaidi katika miaka ya hivi karibuni.
* Tunaona marufuku ya hijabu shuleni yaliyoanzishwa na baadhi ya nchi kuwa ni shambulio dhidi ya haki za msingi kabisa za wanawake.
* Kuongezeka kwa chuki dhidi ya wageni, ubaguzi wa rangi unaotokana na tamaduni, pamoja na chuki dhidi ya Wayahudi, pia ni mwenendo hatari ambao lazima tupambane nao kwa dhamira.
* Kama Rais wa taifa kubwa, nikiongozwa na dhamiri yake, historia yake na huruma yake, Mungu akipenda, kwa muda wote ambao Mungu atanipa maisha, nitaendelea kutoka katika jukwaa hili kutetea haki za wanaodhulumiwa, haki za waliotendewa visivyo na haki na wale wasio na sauti.
* Nitaendelea kuwa sauti yao, kusema kwa niaba yao na kupigania haki zao
Ujana ni kipindi kifupi sana kwenye maisha chenye fursa na mwanga wa maisha.
Kama mchana ulivyo.
Ujana ni wakati ambao mtu ana nguvu, uwezo na nafasi nyingi za kujenga maisha yake.
Tumia ujana wako vizuri, kwa sababu muda huo hauwezi kurudi.
Simamia maisha yako ya kifedha kwa umakini mkubwa. Ni vigumu kupata msaada unapokuwa umekwama kifedha.
Huu si ushauri ni onyo, mwenye kusikia na asikie🧏.
@barackmtulo@DrMbowa@Kachero_jr Just imagine leo hii kuwe na ukurasa wao humu, sidhani kama kutatosha, raia wa nchi za wenzetu wanajadili issues, tena wanajadili kwa upana wake kwa maslahi ya mataifa yao.
Jambo ambalo linaweza kuwa msaada kwa mashirika yao ktk namna fulani, kwetu ni kinyume kunaweza jaa matuc
@alutacontinuee@Kachero_jr Sio mafala, kwao ni jambo la kawaida kuwa nazo social medias, kutokana wameshawa-shape raia wao ktk namna bora.
Wana ufahamu mkubwa wa kujadili mambo na kuhoji kiweledi, tofauti na nchi zetu ambazo asubuhi radioni ni michezo, mchana ni taarabu, umbea na betting.
@hern0279@Kachero_jr Kila mtu ana ufahamu wake ambao unaweza usilingane na wa mwingine juu ya kitu fulani, utofauti wenu wa ufahamu ndio huzaa mitazamo tofauti na hata maamuzi tofauti.
Hivyo, kila mmoja atakuwa anaiona dunia ktk rangi yake ya tofauti na mwingine, same to idara vs raia.
On Sept 7th 1975, My parents Graça and Samora Machel got married.
They are flanked by my maternal grandmother Nely Simbine, the First Lady of Tanzania Maria Nyerere, the First Lady of Zambia Betty Kaunda, and the President of Tanzania, Julius Nyerere.
@RickyJaduong86@aboukary_moshi In short, Wazamiaji wengi wa kibongo waendao South Africa, ni Wahuni. Wachache sana ndio walienda kufocus na maisha, zaidi ya asilimia 90 ni waharifu.
@maestrowafact Hapa ndipo ninapotofautiana na Wanaharakati wengi, wafanye harakati ila wabaki Wazalendo kwa kutunza miundombinu, rasilimali na kutohujumu nchi na mipango mema ya taifa,
"Viongozi hupita, nchi hubakia milele"
@stanleysamwel22@kilepi_tweve Walikuja kwa ziara maalumu, alikuwa Kiongozi wa Sudani kusini, pia mtoto wa muasisi wa harakati za uhuru wa Sudani kusini, The late, John Garang...