@theutdcode Russia hawaongei kingereza China hawaongei kingereza na Kenya anaongea kingereza.
Ukijumlisha mataifa yote duniani makubwa yaafikii uchumi wa mataifa ambayo hayaongei kingereza.
@mananajr_@Mwinshehe07 Sheria ishasema mwanafunzi hapana, wewe ukiwa baba utakubali kwa kigezo hicho?
Wanaume tujilinde wenyewe tofauti na hivyo. Hao wazazi wanaweza kumtuma makuchome waseme kama unataka yaishe tupatie milion 8