Kama jirani hana huruma kiasi hiki na wanachama wake, vipi kwa wasio wanachama au wasio wanachama wa vyama vya siasa kabisa?
Labda jambo la muhimu la kujiuliza ni; Tabu zote hizi ni za nini?
Mashabiki wa Serengeti Boys walivyokuwa wakiishangilia timu yao katika Fainali za AFCON U-17 2026 mjini Rabat, Morocco. Tanzania iliandika historia kwa kutinga fainali kwa mara ya kwanza, lakini ikapoteza ubingwa kwa Senegal kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 1-1 ndani ya dakika 90
Kwani huko CCM kuna nini?
Naona post nyingi mitandaoni zenye maneno ya mafumbo na picha ya Makamu wa Rais Mhe Emmanuel Nchimbi
Wadadisi na wenye taarifa sahihi naomba kujua nini kinaendelea?
"Hakuna familia wala ukoo ulioteulowa na mwenyezi Mungu kuongoza wenzake, Lazima watu waridhie wewe utawale kwa watu kurudhia"
Mwisho wa kunukuu.....
Endelea kusikiliza nyundo za Padri Dr Charles Kitima.
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe Tundu Lissu leo ameonekana mahakamani jijini Dar es salaam akisindikizwa na askari magereza kupanda gari la magereza, ambapo haikuweza kujulikana mara moja sababu iliyopelekea Lissu kufikishwa mahakamani hapo!
@MpingaN8675 Shahidi si ndio huyo msemaji hapo. Ina maana mpaka ameyaongea hayo no wazi kwamba mhusika amethibitisha pasina shaka kwamba mambo yako hivyo ndio maana hajawahi kuitwa wala kuhojiwa mahali na chombo chochote cha dola!
"Kesi ya mwanaCCM na Kesi ya MwanaCHADEMA hata iwe polisi au kwa mwenyekiti wa kijiji ni vitu viwili tofauti, Huyu anaweza akaambiwa ebwana pisha usirudie moja mbili tatu, Lakini tunakujua wewe ni wa hivi tuhangaika na wewe, si ndio maana yake?"
Umeelewa nini kupitia kauli hii?
Badala ya kuitwa msajili wa vyama vya siasa nadhani ingekaa vizuri zaidi iwapo angeitwa mdhibiti wa vyama vinavyoshindana na CCM angeeleweka na kusadifu uhalisia.
@rollymsouth Unataka tuamini kwamba wewe ukifuatwa inbox hata na mtu usiyemjua, akakuambia uishukuru mamlaka fulani kwa malipo ya uchawa kwa sababu kuna watu wanalipwa kwa uchawa mitandaoni basi, utaishukuru mamlaka hiyo hata kama huna uthibitisho wowote wa malipo hayo ya uchawa!
Mahakama Kuu MasIjala Ndogo Dsm imeifuta kesi ya mgawanyo wa rasilimali ndani ya CHADEMA baada ya kubaini hati ya madai ilikuwa na kasoro za kisheria kwa kutobainisha mgogoro huo ulianza lini. Kesi hiyo ilifunguliwa na aliyekuwa M/Mwenyekiti mstaafu CHADEMA Zanzibar Said Mohamed.
@Getrude_mollel Wewe ni chawa, Unawacheka wanaobet ilihali betting imeruhusiwa kisheria na ni serikali hiyohiyo unayoichawia ndio imeidhinisha hayo yote! Hauoni kama unaonekana mjinga
Kinachoendelea muda huu nchini Kenya kufuatia mgomo mkubwa wa kitaifa ulioitishwa na Muungano wa Sekta ya Usafiri TSA ukihusisha magari ya uchukuzi wa umma (matatu) malori ya mizigo, bajaji, bodaboda na madereva binafsi. Mgomo huu umeibua sintofahamu na usumbufu mkubwa kwa abiria