@moodewji Pole na kazi boss, naomba niwe nakununulia karanga kwaajili ya kutengeneza na kuchakata bidhaa mbalimbali zitokanazo na karanga kwenyee kiwanda chako. Sina mtajii ila uwezo wa kupata karanga kwa wingi upo , zile karanga nyekundu au pia nyeupe pia upo ni wewe tu tajiri